Mhasibu H/shauri Singida kortini kwa kupokea Tsh29.4m za watumishi hewa

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,296
Mhasibu Halmashauri Singida Imani Abdul (44) afikishwa kortini leo akituhumiwa kupokea Sh29.4m za wafanyakazi hewa 57 tangu 2013 hadi 2014.
 
Habari za Jioni,

Wimbi la mishahara hewa sasa limeanza kuwahusisha walengwa,Huko singida Mhasibu wa Halmashauri ya Singida Bw.Imani Abdul kizimbani kwa kupokea shilingi milioni 29.4 kwa kipindi cha mwaka 2013/2014 za wafanyakazi 57.(leo 15.4.2016.

Chanzo:Mwananchi.

Ikumbukwe kwamba waziri mkuu akiwa lindi aliagiza watumishi waliosababisha watumishi hewa wachukuliwe hatua za kinidhamu na kisheria.Naipongeza serikali kwa kazi nzuri ya kudhibiti mchwa.
 
Kama mwendo utakua hivi basi huenda shamba la bibi likabadilishwa umiliki na kuwa shamba la baba. Kwa wala rushwa na mafisadi ni msiba kwa wenzangu na mimi ni kicheko tu.
 
wanajamvi wanahitaji kuwa verified, else change the name from Great thinkers to something else. name does not reflect the package of users.
 
utakuta ndo wale wanajenga heshima baa,kw sabb hela hajaitolea jasho...
 
Hili zoezi litaacha kilio, tokomeza cha mtoto, ndio hivyo sasa kila mmoja anamuwahi mwenzake, kazi imekuwa kuweka mitego.
 
Yaani wote waliohusika washughulikiwe maana wameiba hela za wavuja jasho muda mrefu sana kha
 
Habari za Jioni,

Wimbi la mishahara hewa sasa limeanza kuwahusisha walengwa,Huko singida Mhasibu wa Halmashauri ya Singida Bw.Imani Abdul kizimbani kwa kupokea shilingi milioni 29.4 kwa kipindi cha mwaka 2013/2014 za wafanyakazi 57.(leo 15.4.2016.

Chanzo:Mwananchi.

Ikumbukwe kwamba waziri mkuu akiwa lindi aliagiza watumishi waliosababisha watumishi hewa wachukuliwe hatua za kinidhamu na kisheria.Naipongeza serikali kwa kazi nzuri ya kudhibiti mchwa.
weita ongeza nzagamba nyingine, yule pale mpe bia, polepole tutaelewana, mpinzani wa ccm sio chadema ni majizi mabadhirifu na mafisadi, na ukitaka kujua ccm iko imara tishia uhai wake.
 
Back
Top Bottom