Recent content by Malignant Tumor

  1. Malignant Tumor

    Naumwa kikohozi kisichopona

    Acha kuamini ushirikina,tafuna karafuu mara kwa mara utapona ndan ya wiki moja
  2. Malignant Tumor

    Naumwa kikohozi kisichopona

    Kunywa dawa za minyoo,ikishindikana tafuna karafuu mara kwa mara
  3. Malignant Tumor

    Zitto achana na Putin, Kagame, El-Sisi na Erdogan; watakumaliza mapema tu!

    Hawawezi kumfanya chochote kwa sababu siasa za Zitto zinaishia Buzebazeba haizivuki mipaka ya mkoa wa Kigoma
  4. Malignant Tumor

    MWAMBA WA MASHARIKI (EASTERN BLOCK ) VS MWAMBA WA MAGHALIBI(WESTERN BLOCK).

    Uturuki haiwezi kujiondoa NATO,kwani kwa kufanya hvo atakuwa ameruhusu Israel na USA wamshambulie,kwa sababu yupo upande wa Wapalestina Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Malignant Tumor

    Erdogan aapa kutotetereshwa na vitisho vya Marekani

    Mleta uzi hakuwa na maana ya kutaka kuleta ugomvi wa kidini
  6. Malignant Tumor

    US, UK and France launch airstrikes in Syria

    Air defense system imetungua makombora 13 kati ya 20,ila vyombo vya habari vya magharibi havisemi
  7. Malignant Tumor

    North Korea: Hakuna namna, hatimaye UN kukubali offer ya NK

    Nn bmmm mzee baba ww unayajua au stor za propaganda za US na Vimada wake?
  8. Malignant Tumor

    Urusi: Marekani Imetangaza Vita Vya Kibiashara

    Mkuu Pambana na Hali yako,hayo uliyo yaandika sio bure
  9. Malignant Tumor

    RASMI: Marekani Yaingia North Korea. US Aircraft Carriers Zilizofichwa Singapore Zapelekwa

    Mkuu hizi habari unatoa wapi?muda mfupi uliopita,makam wa Rais wa USA alikuwa na waziri mkuu wa Japan na wamesema njia sahihi ya kumuwajibisha DPRK ni vikwazo zaid vya kiuchumi,kwa maana nyingine hakuna vita,USA kasanda
  10. Malignant Tumor

    N/Korea: Tutaingia vitani muda wowote US ikichagua, hatutaacha silaha yetu yoyote bila kutumika

    Usifananishe watu,Sadam ni Sadam na Kim ni Kim,waraabu wana tabia ya woga,hao DPRK hawana urafik na mzungu na wala hawahitaji,achana na propaganda za western,watu wanatetea utaifa wao
Back
Top Bottom