RASMI: Marekani Yaingia North Korea. US Aircraft Carriers Zilizofichwa Singapore Zapelekwa

alvinroley

Member
Sep 30, 2016
71
251
Uvamizi wa Marekani chini Korea Kaskazini waamriwa Rasmi. Kabla ya kuingiza aina zingine za Majeshi ambayo yako tayari kwa vita, Pentagon yaamrisha Big 4 Aircraft Carries zilizobeba makomandoo na ndege hatari za kivita zianze kuingia katika bahari ya North Korea mchana wa Leo. Eneo hilo ndilo ambalo Rais Wa North Korea Kim amepaki Majeshi yake ya majini na ikumbukwe Kim alionya kuwa majeshi ya majini ya Marekani pamoja na Meli zao wakae Peninsula ya Korea ila wasithubutu kusogelea kabisa pwani inayomilikiwa na North Korea. Kim alionya kuwa marekani ikithubutu kusogelea Pwani yake basi hatasubiri lolote na atarusha makombora kwa Marekani. Lakini Pentagon imeamuru Aircraft Carriers 4 Kubwa zivamie bahari iliyokatazwa na Kim na pia ndipo yalipo majeshi ya majini ya North Korea.
Aircraft Carriers (Meli kubwa zinazobeba Ndege za Kivita) zilizoamriwa kuingia Korea Kaskazini ni;

1. USS Carl Vinson, yenye tani 97,000 imebeba Makomandoo 5000 na na ndege 63 za kivita. Pia imebeba Guided - Missile Cruiser na Destroyers Mbili

2. USS Wayne E. Meyer, yenye makomandoo 300 na Ndege 60 za kivita

3. USS Michael Murphy, ina makomandoo 366 na ndege 45

4. USS Lake Champlain, iliyobeba Maofisa na Sailors.

NOTE: Aircraft Carriers zilizo nyingi za USA ziko grouped kwa majina ya Makamanda wa Majeshi wa Zamani wa USA na Wanasiasa Mashuhuri wa zamani wa USA.

Pia Marekani ilificha Aircraft Carriers zake kubwa katika bahari ya Singapore. Hapo Singapore kuna Millitary Base kubwa ya Marekani iitwayo Changi Naval Base. Aircraft Carriers hizi zimesheheni ndege za kivita na makomandoo. Zote mchana huu zimeamriwa zitoke bahari ya Singapore kwenye Changi Naval Base zipelekwe bahari ya Korea.
Amri hii ya kuisogelea kabisa na kuizunguka North Korea imetoka Pentagon. Kinachosubiriwa sasa na makomandoo walioko uwanja wa vita ni kupewa Amri Kuu kutoka kwa Commander In Chief (Amiri Jeshi Mkuu) wa USA ambaye ni President Donald J Trump.

NB: Najaribu ku-Upload Videos lakini zinakataa. Nadhani ni Format tofauti

Wakati huo huo tayari mission ya kulinda miji mikubwa ya Korea ya Kusini hasa jiji Maarufu la Seoul imetekelezwa asilimia 90 had Leo mchana. Wanajeshi wa Marekani wakishirikiana na jeshi la korea kusini wamefunga systems mpya za ulinzi kwa jiji la Seoul na kuboresha zilizokuwepo. Lengo ni kuhakikisha jiji la Seoul na miji mingine isiguswe kabisa na shambulizi lolote liwe la roketi, kombora au chochote kile.

Kwa Wachambuzi wa mambo hasa hii vita nadhani washajua lengo hasa ni nin na target ya kuivamia NK ikoje. Hapa NK atachapwa kwa kushtukizwa. Matamshi ya wakuu wa nchi yanatofautiana na Operation Orders zinazotoka Pentagon kwenda kwa Makamanda waliopo uwanja wa vita. Pence Jana akiwa Camp Bonifas amesema wataichapa tu NK, Leo pia anaungana na Prime Minister wa Japan bwana Shinzo Abe kuwa wanafikiria zaidi Vikwazo kwa NK. Jana Trump akiwa White House kwenye sherehe za Easter Egg Roll alisema Kim Gotta Behave. Yan atamchapa muda sio mrefu na akae kimya ashike adabu. Huku pia Pentagon wakiendelea na Mission yao ya kuizunguka vizuri North Korea na Kusogelea kwa ukaribu na tayari Aircraft zimepelekwa. Kilichopo hapo wanamdumaza Kim kwa Matamshi then Kijeshi Operation inaendelea kusonga mbele na watamstukiza kwa kichapo.

ZIADA: Wapo watu wanasema kuwa Kim arushe tu Kombora lolote pale Los Angeles, NY, Washington au Dallas. Jamani ni ngumu mno hilo kufanyika. Marekani ina Defence Systems za balaa kwa ajili ya kulinda miji yote nchi nzima kwa ujumla na uvamizi wa shambulio lolote la kombora au roketi. Teknolojia yao ya kulinda nchi ni kubwa kutoka kwenye uvamizi wa anga au majini kuja kwenye nchi yao. Roketi au kombora lolote huwa detected kabla halijafika kwenye anga lao na kuharibiwa kabisa au kurudishwa kwako. Hicho unachokiwaza wao walishalifikiria miaka 200 iloyopita na kukipatia ufumbuzi. Njia iliyokuwa rahisi kufanya mashambulizi marekani ni kwa njia ya kujitoa muhanga. Yan unaingia nchini kwao kwa kufuata taratibu zote za uhamiaji na ukaguzi then ukafanye mpango wa utekaji au kutafuta mabomu ujilipue na we ufe. Lakini kivita kwa roketi na makombora ni ngumu kwa ajili ya teknolojia yao ya ulinzia wa nchi yao. Lipo jeshi maalumu ambalo kazi yake ni ulinzi wa nchi tu, wapo macho masaa 24 kuangalia satelaiti zote, kuangalia anga lao na mipaka yao.

1492529399034.jpg

1492529507760.jpg

1492529580730.jpg

1492529592624.jpg

1492529610849.jpg

1492529622514.jpg

1492529835804.jpg

1492529896447.jpg

1492529932230.jpg
 
Nilichangia humu kupitia thread zingine. Kitendo cha US VP Mike Pence kuonekana DMZ ndani ya binoculars that was complete war declaration. Sasa vita ni rasmi kinachosubiriwa ni order ya Commander-in-Chief tu vijana waanze kazi. Kim must go; sijui kwanini namchukia yule mpuuzi kiasi hiki.
 
Uvamizi wa Marekani chini Korea Kaskazini waamriwa Rasmi. Kabla ya kuingiza aina zingine za Majeshi ambayo yako tayari kwa vita, Pentagon yaamrisha Big 4 Aircraft Carries zilizobeba makomandoo na ndege hatari za kivita zianze kuingia katika bahari ya North Korea mchana wa Leo. Eneo hilo ndilo ambalo Rais Wa North Korea Kim amepaki Majeshi yake ya majini na ikumbukwe Kim alionya kuwa majeshi ya majini ya Marekani pamoja na Meli zao wakae Peninsula ya Korea ila wasithubutu kusogelea kabisa pwani inayomilikiwa na North Korea. Kim alionya kuwa marekani ikithubutu kusogelea Pwani yake basi hatasubiri lolote na atarusha makombora kwa Marekani. Lakini Pentagon imeamuru Aircraft Carriers 4 Kubwa zivamie bahari iliyokatazwa na Kim na pia ndipo yalipo majeshi ya majini ya North Korea.
Aircraft Carriers 4 zilizoamriwa kuingia Korea Kaskazini ni;

1. USS Carl Vinson, yenye tani 97,000 imebeba Makomandoo 5000 na na ndege 63 za kivita. Pia imebeba Guided - Missile Cruiser na Destroyers Mbili

2. USS Wayne E. Meyer, yenye makomandoo 300 na Ndege 60 za kivita

3. USS Michael Murphy, ina makomandoo 366 na ndege 45

4. USS Lake Champlain, iliyobeba Maofisa na Sailors.

Pia Marekani ilificha Aircraft Carriers zake kubwa katika bahari ya Singapore. Hapo Singapore kuna Millitary Base kubwa ya Marekani iitwayo Changi Naval Base. Aircraft Carriers hizi zimesheheni ndege za kivita na makomandoo. Zote mchana huu zimeamriwa zitoke bahari ya Singapore kwenye Changi Naval Base zipelekwe bahari ya Korea

NB. Najaribu ku-Upload Video hapa kwenye Uzi Zinakataa. Nadhani Format ni tofauti.

View attachment 497906
View attachment 497909
View attachment 497910
View attachment 497911
View attachment 497912
View attachment 497914
View attachment 497917
View attachment 497918
View attachment 497920
Mkuu mbona chanzo chako cha taarifa nikitafuta sioni kitu kama hicho?
Sipata update news kama yako au umeweka taarifa za siku zilizopita?
 
Mmeshaambiwa hakuna vita hapo japan inaonyesha hayuko tayari kabisa ardhi yake kutumika na majeshi ya marekani na wanachosisitiza zaidi ni kuiwekea n korea vikwazo zaidi so mpaka hapo vita hapo
 
Back
Top Bottom