Zitto achana na Putin, Kagame, El-Sisi na Erdogan; watakumaliza mapema tu!

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Kwanza naomba hili bandiko lisiunganishwe na andiko lolote kwa faida ya Zitto mwenyewe.

Zitto amekuwa na tabia ya kuwasema vibaya hao Rais niliowataja hapo juu kwa mabaya tu na namna walivyo na tabia ya udikteta.Jambo hatari sana!

Asichokifahamu Zitto kwamba hiyo Miamba inauwezo wa kummaliza 'KUMUUA' kwa namna yeyote watakavyotaka wao.Uwezo huo wanao iwe hapa ndani ya Nchi au hata huko kwingineko anakopita kila siku kwenda kulia hali.

Unapomtaja taja Rais Putin kwa kumzodoa na visiasa vyako uchwara vya hapa kwetu ni sawa na kuchezea tanuri la moto wa nyuklia!

Unapomtaja taja Mwamba Erdogan kwa visiasa vyako uchwara ilhali makachero wake wamejaa pale kwenye ujenzi wa reli ya kisasa ni sawa na kuchezea moto wa gesi!

Mwamba wa East Africa Paul Kagame kuutaja taja kizembe namna ile ilhali kwako ni Kigoma ni sawa na kuchezea mke wa mtu,ni sumu!

Itoshe kukutahadharisha Zitto ni bora ukaendelea kumchezea sharubu Magufuli na si miamba ile-ITAKUMALIZA MAPEMA TU!
 
Ilo Lipo Wazi Putin Anakufata Ata Uvunguni Mwa Kitanda"

Kagame Kawaua Wapinzan Wake South Afrika, Kenya, Uganda Na Nchi Zingine"

Kagame Ni Mafia Sana Jamaa Uwa Anawafata Ata Kwenye Hotel Za Nyota Tano Zenye Ulinzi Wa Uhakika"
 
Hata wanaoua wenzao nao watakufa,hakuna atakayeishi milele. Kwanza kati ya hao wote uliiwataja hawawezi kuwafikia madikteta wakatili sana kama Hitler, Mussolini, Saddam Hussein na Gadaffi au Omar Bashir. Je wako wapi sasa?
 
Paka haachi ushahidi wa aina yoyote tofauti na hisia tu, utaskia Pk kahusika kahusika na kifo lakini ushahidi hakuna....... Yule jamaa ni nouma

Mchungaji Mtikila huko aliko anajua mziki wa huyu kamanda!!!
 
Hata wanaoua wenzao nao watakufa,hakuna atakayeishi milele. Kwanza kati ya hao wote uliiwataja hawawezi kuwafikia madikteta wakatili sana kama Hitler, Mussolini, Saddam Hussein na Gadaffi au Omar Bashir. Je wako wapi sasa?
Wee dogo unakula Ugoro? Aliyekuambia Gadaffi alikuwa dikteta ni nani? Hivi unamfahamu dikteta kweli?

Hivi ulisha wahi kuona wapi dikteta anawalipa wananchi wake hela ya mauzo ya mafuta anawapa bure wananchi umeme, elimu bure?
 
zito amesema nini?

Цитто говорит, что насчет Путина, я должен знать, прежде чем что-то решить
 
A
Kwanza naomba hili bandiko lisiunganishwe na andiko lolote kwa faida ya Zitto mwenyewe.

Zitto amekuwa na tabia ya kuwasema vibaya hao Rais niliowataja hapo juu kwa mabaya tu na namna walivyo na tabia ya udikteta.Jambo hatari sana!

Asichokifahamu Zitto kwamba hiyo Miamba inauwezo wa kummaliza 'KUMUUA' kwa namna yeyote watakavyotaka wao.Uwezo huo wanao iwe hapa ndani ya Nchi au hata huko kwingineko anakopita kila siku kwenda kulia hali.

Unapomtaja taja Rais Putin kwa kumzodoa na visiasa vyako uchwara vya hapa kwetu ni sawa na kuchezea tanuri la moto wa nyuklia!

Unapomtaja taja Mwamba Erdogan kwa visiasa vyako uchwara ilhali makachero wake wamejaa pale kwenye ujenzi wa reli ya kisasa ni sawa na kuchezea moto wa gesi!

Mwamba wa East Africa Paul Kagame kuutaja taja kizembe namna ile ilhali kwako ni Kigoma ni sawa na kuchezea mke wa mtu,ni sumu!

Itoshe kukutahadharisha Zitto ni bora ukaendelea
Kwanza naomba hili bandiko lisiunganishwe na andiko lolote kwa faida ya Zitto mwenyewe.

Zitto amekuwa na tabia ya kuwasema vibaya hao Rais niliowataja hapo juu kwa mabaya tu na namna walivyo na tabia ya udikteta.Jambo hatari sana!

Asichokifahamu Zitto kwamba hiyo Miamba inauwezo wa kummaliza 'KUMUUA' kwa namna yeyote watakavyotaka wao.Uwezo huo wanao iwe hapa ndani ya Nchi au hata huko kwingineko anakopita kila siku kwenda kulia hali.

Unapomtaja taja Rais Putin kwa kumzodoa na visiasa vyako uchwara vya hapa kwetu ni sawa na kuchezea tanuri la moto wa nyuklia!

Unapomtaja taja Mwamba Erdogan kwa visiasa vyako uchwara ilhali makachero wake wamejaa pale kwenye ujenzi wa reli ya kisasa ni sawa na kuchezea moto wa gesi!

Mwamba wa East Africa Paul Kagame kuutaja taja kizembe namna ile ilhali kwako ni Kigoma ni sawa na kuchezea mke wa mtu,ni sumu!

Itoshe kukutahadharisha Zitto ni bora ukaendelea kumchezea sharubu Magufuli na si miamba ile-ITAKUMALIZA MAPEMA TU!
Acha kuongea utoto mkuu!!....yaani Putin aangaike na kumuua zito kisa kamuongelea vibaya!!....kwanza umewahi kumsikia hata anafanya ziara Africa!...?
 
Wee dogo unakula Ugoro? Aliyekuambia Gadaffi alikuwa dikteta ni nani? Hivi unamfahamu dikteta kweli?

Hivi ulisha wahi kuona wapi dikteta anawalipa wananchi wake hela ya mauzo ya mafuta anawapa bure wananchi umeme, elimu bure?
Usiniite Dogo wakati wote tunatumia fake IDs. Utashangaa nikitumia jina langu halisi utakapogundua mimi ndiye yule hawara wa mama yako.

Bado humjui Muamar Gadaffi, kaa kimya
 
Mobutu alikuwa anatembea na hela anawagawia wanchi wake,kwa hiyo hakuwa dictator? Mshangae na wewe huyu jamaaa!!!!!!!!!! Kuna huyu mwingine rafk yake Bashite sijui kamuiga Mabutu au Kagame? Au anaiga kotekote? Maana ni ajabu kumteka Hadi Roma mkatoriki na kumvunja kidole
 
Ilo Lipo Wazi Putin Anakufata Ata Uvunguni Mwa Kitanda"

Kagame Kawaua Wapinzan Wake South Afrika, Kenya, Uganda Na Nchi Zingine"

Kagame Ni Mafia Sana Jamaa Uwa Anawafata Ata Kwenye Hotel Za Nyota Tano Zenye Ulinzi Wa Uhakika"

Magufuli Ni Dicteta Ila Bado Anajijenga Kuwa Dicteta Kamili Udicteta Utengenezwa Kwa Muda Mrefu Sana Bado Ajawafikia Manguli Wa Udicteta Duniani Kama Putin, Kim Jong, Na Kagame .
Magu ni full flagged dictator.
 
Na wasi wasi na wewe.Ume andika kwa mahaba sana uko sawa kwel kijana
 
Back
Top Bottom