Naumwa kikohozi kisichopona

pet geo pet

JF-Expert Member
Jun 30, 2018
461
644
Wakuu habarini!,

Mwaka Jana niliungua TB kwa bahati nzuri niliweza nikatumia dawa kwa miezi 6 nikapona.

Lakini baada ya miezi kama 5 hivi,kihoozi kilirudi mpaka sasahivi nakoa tu..nimejaribu kutumia dawa zote za kihozi yaani vidoge na maji lakini siponi.

Zaidi nimepima TB Mara mbili zote majibu sina.

Kama ni minyoo nimetumia dawa zote za minyoo ikiwemo Zend lakini siponi tu.

Usiku sikohoi kabisa ila mchana nakoa sana sijui ni tatizo gani..nmeenda hospital za private na public lakini siponi tu.

Madaktari mliopo humu naombeni ushauri wenu.
 
Vidonge gani???
Angalia hapa chini picha nmekutumia
JPEG_20201003_083652_676675696.jpg
 
Chukua Tangawizi isage vizuuri,
Limao/ndimu kamua maji yake,
Chukua Asali mix na Tangawizi iliyosagwa pamoja na yale maji ya limao/ndimu,
Itatokea paste flan hivi amazing,

Kula hiyo paste asubuhi, mchana na jioni.

Kisipoisha hapo ndani ya siku 3 hadi 7 basi nenda kakate kimeo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom