Naumwa kikohozi kisichopona

Naumwa kikohozi kisichopona

Chukua Tangawizi isage vizuuri,
Limao/ndimu kamua maji yake,
Chukua Asali mix na Tangawizi iliyosagwa pamoja na yale maji ya limao/ndimu,
Itatokea paste flan hivi amazing,

Kula hiyo paste asubuhi, mchana na jioni.

Kisipoisha hapo ndani ya siku 3 hadi 7 basi nenda kakate kimeo.
Ngoja niijaribu hii yako mkuu
 
tafuta watalaam wakuangalie kooni 'kimeo' kama kimeota/urefuka, na kama kimerefuka wakikate au wakipake dawa za kienyeji, binafsi kwa takriban miaka2 nilikuwa na tatizo kama hilo, baada ya kukikata hicho kikoromeo ndani ya mwezi1 mambo yalikaa sawa, ongea na wazee wakusaidie
 
Mkuu nahisi utakuwa umelogwa sio bure sasa maana naona unakoelekea utapelekea shortage ya dawa za minyoo,allergy & kikohozi
 
Chukua Tangawizi isage vizuuri,
Limao/ndimu kamua maji yake,
Chukua Asali mix na Tangawizi iliyosagwa pamoja na yale maji ya limao/ndimu,
Itatokea paste flan hivi amazing,

Kula hiyo paste asubuhi, mchana na jioni.

Kisipoisha hapo ndani ya siku 3 hadi 7 basi nenda kakate kimeo.
Nishafanya hivyo lakn hamna tu!
 
tafuta watalaam wakuangalie kooni 'kimeo' kama kimeota/urefuka, na kama kimerefuka wakikate au wakipake dawa za kienyeji, binafsi kwa takriban miaka2 nilikuwa na tatizo kama hilo, baada ya kukikata hicho kikoromeo ndani ya mwezi1 mambo yalikaa sawa, ongea na wazee wakusaidie
Nishafanya hivyo pia lakn hakuna tu. Kwakweli nimechoka... Nimetembea hospital mpk sekou toure lakin hamna tu
 
Chu...!!,au umelogwa mkuu,,mkaribishe huyo mganga pm akusaidie...
Sajalogwa ila mwaka Jana nilitupiwa majini uko Zanzibar na kisa cheo...nilivyotoka tu uko ndo nikaanza kukuhoa mpk sshv...
 
A) Tafuna kipande cha tangawizi mara kwa mara ni dawa moja kubwa sana ya kikohozi B) Badilisha maji unayokunywa, hii iliwahi kunitokea niliisha dawa hakikupoa mpaka nilipoacha kunywa maji ambayo niliikua nikinywa nikapoa haraka C) Kunywa maji ya chumvi ukizidiwa au skutua mpaka kooni uteme au ata mouthwash ifikishe mpaka kwenye koo inauwa bacteria au vimelea
 
Kuna mti mmoja unaitwa mkunungu kama sijakosea utafute hta mimi nilishakuwa kama wewe ila nashukuru mungu naweza kohoa mara 5 tu kwa siku means kimepungua sana kama sio kuisha.

Huo mzizi unasugua kwenye jiwe unachanganya na asali unalamba mara 3 kwa siku
 
Asnte mkuu
 
A) Tafuna kipande cha tangawizi mara kwa mara ni dawa moja kubwa sana ya kikohozi B) Badilisha maji unayokunywa, hii iliwahi kunitokea niliisha dawa hakikupoa mpaka nilipoacha kunywa maji ambayo niliikua nikinywa nikapoa haraka C) Kunywa maji ya chumvi ukizidiwa au skutua mpaka kooni uteme au ata mouthwash ifikishe mpaka kwenye koo inauwa bacteria au vimelea
Poa poa mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom