Recent content by malickhero

  1. malickhero

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kama unatumia tigo 1 . Menu ya tigo pesa 2. Lipia bili (namba 4) 3. Ingiza namba ya kampun{238844} 4. Ingiza namba ya kumb. Ya malipo (andka neno Mkeka). 5. Namba ya siri
  2. malickhero

    JamiiForums Tanzania What is wrong with me?

    Ahsnt sn mkuu
  3. malickhero

    JamiiForums Tanzania What is wrong with me?

    Thnx mgonjwa mwenzangu...
  4. malickhero

    JamiiForums Tanzania What is wrong with me?

    I feel sorry for you as i do for myself cause i am experiencing the same situation.... Sometimes i feel like i need psychological help,,, OMG! I lost my mind for sure...
  5. malickhero

    JamiiForums Tanzania RC Makonda awaambia watu wa mikoani: Unaruhusiwa kuja Dar kwa ruhusa maalum tu

    Kama ni yy bas kafail
  6. malickhero

    JamiiForums Tanzania Help! Help! Help..

    Msaada please!! Nina HP pavilion x360 ilikuja na window 8.1.... 64byt. Nikaamua kupiga chini window ili nifanye partition maana haikua na partition. Nikatumia window10 kutimiza hitaji langu, nilifanikisha kuformat previous window na process za installation kuendelea had kufikia asilimia 54...
  7. malickhero

    JamiiForums Tanzania msaada wakuu!

    naoembeni msaada nataka kurestore samsung galaxy ace lakin tatzo inahitaji kufuta kwanza samsung account ambayo pia inahtahtaj password ili niweze kufuta so naombeni mawazo yenu wakuu!
  8. malickhero

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Bi Kidude afariki dunia!

    R.I.P. legendary
  9. malickhero

    JamiiForums Tanzania msaada wakuu!

    nasahukuru wakubwa nimefanya kama mlivyonielekeza na driver haioneshi kufail bt sauti hakuna pia inaonesha kuwa "no speakers or headphones are plugged in".
  10. malickhero

    JamiiForums Tanzania msaada wakuu!

    mashine yangu ni hp ina ram 1gb procsa 3 but nikiweka window7 sauti ni tatzo! so naomben msaada wenu wakubwa
  11. malickhero

    JamiiForums Tanzania Breaking newz!(TCU SELECTION)

    we got it wana jf
  12. malickhero

    JamiiForums Tanzania Tamko la Chama Cha Walimu(CWT)

    Hakika hao viongozi hawelewi nini walifanyalo.
  13. malickhero

    JamiiForums Tanzania Tamko la Chama Cha Walimu(CWT)

    Msisahau kutuhabarisha mtakao pata hilo tamko lao
Back
Top Bottom