Bodi ya mikopo mambo yameiva muda wowote kuanzia siku ya leo mambo yatakuwa hadharani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bodi ya mikopo mambo yameiva muda wowote kuanzia siku ya leo mambo yatakuwa hadharani

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MKINDE, Sep 11, 2012.

 1. M

  MKINDE Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wana ndugu nimepata taarifa sasa hivi kupitia mwana dodoso mwenzangu aliye ndani ya HESLB na amenihakikishia ya kwamba taratibu zote za ku-upload majina ya wanafunzi waliopata mikopo ya elimu ya juu umefikia tamati hivyo muda wowote kuanzia sasa tuelekeze macho yetu ndani ya Welcome to HESLB tukajionee wenyewe mambo ya bodi. Kwa mliotembelea website ya HESLB sasa hivi mtaona baadhi ya mabadiliko katika website hiyo kwani hata kale ka alama ka-new hakaonikani tena. Mjumbe hafungwi. asanteni nimefikisha.
   
 2. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,893
  Likes Received: 4,745
  Trophy Points: 280
  Ahsante kwa taarifa hasa zikiwa za kweli.
   
 3. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  tushawazoea...nyie ni wale wale akina pokofome....
   
 4. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Labda!! Embu ngoja tusubiri tujionee.
   
 5. A

  Apex JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 429
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yes kaka weka w2 mapresha 100%,mm cool mpaka k2 kitema chenyewe.
   
 6. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Haya bhana,ujumbe nimeupata lakini! Acha tuone,kwasababu ni lazima watoe,watatoa tu.Tatizo yasipotoka,na wewe ndo hatutakuona tena humu jukwaa la Elimu. Ngoja tuone.
   
 7. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  toka j3 last week nimeweka page ya HESLB kama home page, kule juu kulikokua na kile ki lebo cha NEW kulikua na link mbili
  APPEAL RESULTS & LOAN DEFAULTERS/WADAIWA
  toka jana hayo mabadiliko nimeyaona, inawezekana mambo yameiva atii.
   
 8. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  lets wait and see
   
 9. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,893
  Likes Received: 4,745
  Trophy Points: 280
  We ulisemaje time ile?
   
 10. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  we ze duduz siulisema chanzo chako kimesema bodi ya mikopo haina hela,na inawezaenda hadi october? Inaonyesha chanzo chako sio cha uhakika.
   
 11. PARRIE KIJIKO

  PARRIE KIJIKO Senior Member

  #11
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kila nikiona neno heslb mwili unanisisimka
   
 12. J

  JUNK MASTER Member

  #12
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 15
  wazinguaji tushawazoea
   
 13. malickhero

  malickhero Member

  #13
  Sep 11, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  thanx 4 update yako
   
 14. y

  yuda yudae Member

  #14
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  2subr 2one
   
 15. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #15
  Sep 11, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  nasema hivyo kwa sababu naona jamaa anawadanganya hakuna cha wiki hii or wiki inayokuja na wiki ya kesho kutwa !!
   
 16. mnoel

  mnoel Senior Member

  #16
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 170
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  yaleyale tu,
  kikwete kumuita jk!
   
 17. M

  MWINDAJI Member

  #17
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  poa mkuu we are together manake tunahamu na hii mikopo duh
   
 18. B

  Best Mzava Senior Member

  #18
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani huo utakuwa ni msiba wa pili kwawale watakaopigwa NIL
   
 19. Wkaijage

  Wkaijage Senior Member

  #19
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  pole xana mkuu,
   
 20. Zeddicus

  Zeddicus JF-Expert Member

  #20
  Sep 11, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 590
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 60
  Vijana ingawa hii ni serikali ya Magamba,bado naamini kuwa watajitahidi kutoa mikopo kwa watu wote ambao kwa kweli ni wahitaji wa mikopo, msijali si unajua sisi ndio wapiga kura mwaka 2015 hawawezi kufanya upuuzi wa kutubania mikopo sie wakina kayumba hata kama tumechaguliwa non priority coarses
   
Loading...