Recent content by MALDIN

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mboga mboga uhai wa Wilaya ya Lushoto

    Umeonesha umaskini wa akili na hujui kinachoendelea duniani.Ingia YOUTUBE search Hadija Jabir, Mamy Mlangwa na Meshack Maganga.Hao 3 wanakutosha. Mjini sana wewe,Hata MO na Bakhresa wanatajirika kwa kilimo.Jiulize wewe mwenyewe kila siku unahitaji kula lakini nguo utanunua kila siku HUNA AKILI.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti uliodumu kwa Miaka 22 kuhusu Mungu yupi ana nguvu katika Ulimwengu wa Rohoni. Hakika Mungu wa Walokole ana nguvu

    Sisi tunaabudu Mungu wa hiyo Miungu yote uliyotuhadithia usitake kutuzingua wewe mwenyewe mganga tena wa kinyenyeji.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya nazi halisia yanapatikana

    Thamani ya yasiyochemshwa ni ghali na yana thamani kubwa kuliko yaliyochemshwa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya nazi halisia yanapatikana

    Kuna mafuta yasiyochemshwa au kupita kwenye moto na mafuta ya nazi yaliyochemshwa na kupitia kwenye moto.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Acheni kumuonea Rais Magufuli. Tuwe na busara

    bhikola Hata useme nini hiki ni kipindi cha uongozi wa hovyo kuwahi kutokea TZ Purchasing power ya wananchi imepungua sana hivyo basi usitarajie maendeleo kuwepo sababu hakutakuwa na investment za kutosha kuinua hali ya uchumi wetu.Acha unazi nchi inaanguka.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Project maalumu kuinua uchumi wa watanzania,Weka wazo lako la mradi hapa na ueleze umekwama wapi utafutiwe co-investor

    Nina eneo kisiwani Mafia ambapo nikipata mwekezaji anaweza kutengeneza PARK ya wanyama kwa kuwalenga watalii wanaokuja kutalii Mafia . 0683226622.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Mshana na Pascal Naomba kusaidiwa nikiota uwa sikumbuki nilichokiota hata nikisituka muda huo huo.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Pascal Mayalla nahitaji sana elimu hii sijui nitajuaje nguvu zangu ili niweze kufanikiwa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wazungumza na Wanahabari kuhusu Mwanafunzi aliyeuawa na jinsi Mbowe anavyotafutwa na Polisi

    Aliyesababisha kifo cha mwanafunzi ni yule aliyesababisha watu kuandamana kwa kushindwa kutekeleza wajibu wake wala sio Mbowe.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nitamuunga mkono mgombea Ubunge yeyote wa chama changu (CCM) jimbo la Ubungo kumng'oa Mnyika

    Wasubiri 2020 kama wataweza kumng'oa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Umasikini umeongezeka maradufu ndani ya mwaka mmoja tu wa utawala wa Rais Magufuli

    Msiyoyaweza yaacheni sio kuandika hesabu za kipuuzi.Tuacheni Wahasibu na Wachumi.Kama umebaki na 300 bilioni mishahara ambayo wage bill yake inakadiriwa ni 570 bilioni inatoka wapi na Operations costs zinatoka kwa baba yako.
  12. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Kiongozi wa Freemasons Tanzania, Sir Andy Chande afariki dunia

    Utakuwa una mzio wa akili ya lugha.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Syria yatishia kuishambulia Israeli kwa makombora ya SCUD

    Utakuwa punguani wa akili.
Back
Top Bottom