Clairekyrie
Member
- Jun 12, 2019
- 16
- 15
250ml kwa Tsh. 13,000.
Tupo Mbagala Dar es Salaam
Simu 0682432363
karibuni
Tupo Mbagala Dar es Salaam
Simu 0682432363
karibuni
Mbona hujaelezea sifa zake? Ni mafuta yaliyotengenezwa kwa kutumia nini?
Yametengenzwa kwa kukamua machicha ya nazi kwa machineMbona hujaelezea sifa zake?Ni mafuta yaliyotengenezwa kwa kutumia nini?
Sasa Kama ni mafuta ya Nazi mbona madukani mtaani yanauzwa elfu 3?Kuna kitu gani Cha kufanya mtu atoe elfu 13?Yametengenzwa kwa kukamua machicha ya nazi kwa machine
Hayapikwa wala kuongezwa chochote
Inategemea kila mtu na uaandaji wakeSasa Kama ni mafuta ya Nazi mbona madukani mtaani yanauzwa elfu 3? Kuna kitu gani Cha kufanya mtu atoe elfu 13?
Mkuu inategemea na uaandaji wa hayo mafutaYani mafuta ya Nazi 13000? Nyie wajisiliamali wa kisasa mmezidi khaaa!! Wakati hapa vingunguti kama hayo buku tu .
Nywele zangu hazikui vizuri, vipi haya mafuta yatanifaa??
Hiyo 13000 ni kwa sababu yamekamuliwa na mashine?Hapana mkuu sio ya kupikwa
Yamekamuliwa na machine
Hivi kupikia na kupikwa ni neno moja lenye maana moja?Hapana mkuu sio ya kupikwa
Yamekamuliwa na machine
Asee acha tuu unajua watu hawajui tuu utengenezaji wa mafuta aya wanajua mnara na parachute ni mafuta ya nazi halisi yani.kipindi naanza kufanya ii biashara nilipata changamoto sna kuelimisha watuThamani ya yasiyochemshwa ni ghali na yana thamani kubwa kuliko yaliyochemshwa.
Tressa 250ml yanauzwa 4,000/= kweli wajasiliamali wa bongo wanasafari ndefu sana.!!Asee acha tuu unajua watu hawajui tuu utengenezaji wa mafuta aya wanajua mnara na parachute ni mafuta ya nazi halisi yani.kipindi naanza kufanya ii biashara nilipata changamoto sna kuelimisha watu
Nadhani kwa sababu anazalisha kwa kiwango kidogo,anataka afidie garama za utengenezajiTressa 250ml yanauzwa 4,000/= kweli wajasiliamali wa bongo wanasafari ndefu sana.!!
Inaonyesha huijui hiyo kampuni,ndio moja kati ya supplier wakubwa Tz!!Nadhani kwa sababu anazalisha kwa kiwango kidogo,anataka afidie garama za utengenezaji
Nimejaribu kutumia formula ya kuweka bei ya vitu au huduma,ili jibu sahihi liweze kupatikanaInaonyesha huijui hiyo kampuni !!
Labda yanachanganywa na kitu mana mi natumia njia mbil kukamua ayo mafuta moja ni njia ya asili ambayo ni jua na iyo njia ili upate lita moja inabidi utumie nazi 30 adi 35 tena zile zilizokomaa ndo zenyemafuta na yapili ni mashine ukitumia iyo nazi huongezeka hutumia nazi 40 na zaid,piga nazi ni shingapi bado hujaikuna na hujapaki mzeeTressa 250ml yanauzwa 4,000/= kweli wajasiliamali wa bongo wanasafari ndefu sana.!!
Ishu hipo hivi ili upate faida hautaji kuuza bidhaa zako kwa bei ghari unatakiwa utumie njia ambazo za kisasa au ambazo vipo more advanced ili kuweza kuongeza uzalishaji (production rate) ila kwa wajasiriamali wengi ilo ni tatizo.Labda yanachanganywa na kitu mana mi natumia njia mbil kukamua ayo mafuta moja ni njia ya asili ambayo ni jua na iyo njia ili upate lita moja inabidi utumie nazi 30 adi 35 tena zile zilizokomaa ndo zenyemafuta na yapili ni mashine ukitumia iyo nazi huongezeka hutumia nazi 40 na zaid,piga nazi ni shingapi bado hujaikuna na hujapaki mzee