Acheni kumuonea Rais Magufuli. Tuwe na busara

Acheni kumuonea Rais Magufuli. Tuwe na busara

Hahaha, Mkuu hili jiwe ni jiwe haswaaaaa
halitikisiki wala kubabaika.
Dadeeeeeeki

Lina asili ya umasikini na sasa linaangusha uchumi wa nchi huku likibaki na siasa za mivutano. Hilo jiwe lilipoanza lilianza kwa kujikweza, lakini sasa hivi ukweli uko wazi na limechuja ile mbaya.
 
Rais Dr Magufuli anasema yawezekana kuna mambo mawili yanayoleta shida Tanzania. 1. Kulogwa, 2. Shetani kaweka makazi Tanzania. Ila namna ya kuthibitisha kwa njia ya kawaida ya ki-PhD ni ngumu kuwa Tanzania imelogwa. Kwa shetani kuweka makazi Tanzania ni sahihi, kwani baadhi yetu tunatakiwa kuishi kama mashetani, hivyo sioni kama ni ajabu kwa shetani kupiga kambi Bongo.
 
Kwa awamu hii jamaa wa upande ule watalia sana na bado,tunajua hata hao maaskof ni wa upande ule,time hii mambo yamebadilika wachaga wapumzike walie tu,hizo kelele za chura,magu awakazie tu watie akili.
 
bhikola
Hata useme nini hiki ni kipindi cha uongozi wa hovyo kuwahi kutokea TZ Purchasing power ya wananchi imepungua sana hivyo basi usitarajie maendeleo kuwepo sababu hakutakuwa na investment za kutosha kuinua hali ya uchumi wetu.Acha unazi nchi inaanguka.
 
Weye naye si kwamba una frustration tu bali hata hallucinations unazo.Sasa,unatetea ujinga ili iweje?He,unawashwa au umetekenywa?Tulia ukweli udhihirike.Muhutu weye!
Ningekushauri ukague vizuri sehemu zako za siri kuna uvundo mkali sana unatoka huko na harufu yake sio ya kawaida nilitamani kukwambia live lakini nimekustahi nadhani hii yaweza kuwa njia njema zaidi ya kuwasilisha ujumbe wangu kwako Mkuu.
 
Hata useme nini hiki ni kipindi cha uongozi wa hovyo kuwahi kutokea TZ Purchasing power ya wananchi imepungua sana hivyo basi usitarajie maendeleo kuwepo sababu hakutakuwa na investment za kutosha kuinua hali ya uchumi wetu.Acha unazi nchi inaanguka.
Unaeanguka wewe mpiga tumba,watu wanaendesha serikali na mambo yanaenda utakuja kustuka 2020 hii sijui napo utasemaje,kikwete mlikuwa mnapiga kelele chama kunamfia ajabu kanyonga ten yr na mambo yalienda na mnamkumbuka[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ningekushauri ukague vizuri sehemu zako za siri kuna uvundo mkali sana unatoka huko na harufu yake sio ya kawaida nilitamani kukwambia live lakini nimekustahi nadhani hii yaweza kuwa njia njema zaidi ya kuwasilisha ujumbe wangu kwako Mkuu.
Mkuu wangu,hata binadamu aoge vipi,hawezi kuacha kunuka.Kama hauamini,nenda chooni uchuchumae.Asante mkuu wangu.
 
bhikola
Ni vigumu sana mkuu kuelewa hawa watu wanataka ni nini. Umeuliza maswali na mifano ya msingi sana.

Kuna watu kazi yao kupiga kelele tu..... ikiwa maendeleo ya chama yamewashimda itakuwa maendeleo ya nchi?

Chadema wameshindwa hata kujenga ofisi ya makao makuu. Mzee Sabodo amekata ruzuku, na sijajua lile jengo aliwapa kujenga makao pale kituo cha basi ITV limeishia wapi? Aliona hakuna mwelekeo akaachana nao. Sasa itakuwa nchi.

Katika hii awamu ya kwanza rais Magufuli ameweza kuanzisha miradi mikubwa. Na bado ile ndoto yake ya Tanzania ya Viwanda anaipigania. Anahitaji sapoti lakini watu wengi hawataki kuelewa wanataka waendelee kutumbua kama enzi za JK. Hili haliwezekani hata kama ningekuwa mimi ningewashughulikia. Haiwezekan nishimdwe kutekeleza sera zangu kwa sababu tu ya kelele za watu wachache wenye njaa na wasiotaka kufanya kazi. Wanabaki kupinga ninachofanya. Muda huu sio wa kupinga na muda wa kufunga madomo yao waache nitekeleze ilani yangu ya uchaguzi. Sitaki kuona wanateka akili za watu na kuwaondoa kwe reli. Hakika ningeku mimi ndio Magufuli ningeshulikia nao sambamba mpaka wangenyooka tu. Haiwezekani tuwe taifa la wapiga domo na siasa tu bila kutekeleza yale tulojiahidi. Kila rais ajae ana ahidi vitu kibao lakimi hata 20% ya kile alichoahidi hakitekelezeki. Jamaa kaja na gia kubwa ya utekelezaji....mlitaka pesa ya aliyoahidi atoe mfukoni mwake? Hii ni nchi yenu lazima mtoe pesa ya kuijenga na mnapojenga lazima mtaumia. Lazima thlipe kodi tujenge nchi kwa ajili yetu na watoto wetu.
 
Kuna watu ni wajinga sana, na dawa yao ni kwenda nao kijinga hivo hivo. Tutaendelea kuongoza nchi kwa miaka mia tano zaodi na mtaendelwa tu kuangusha uharo wenu wakati sisi tunapeta. Mtu bila aibu anaanza kuzungumzia uhutu, hivi tukianza kujuana makabila hapa na sehemu tunazotoka kuna mtu atabaki Tanzania? Maana wote sisi asili yetu ni Adamu na Hawa na hao hawajatoka hapa Tanzania. Ni upuuzi na ulimbukeni tu umewajaa. Safari hii hamli hata kumi ya kifisadi ni mwendo wa kuwakazia tu mpaka mng,'0ke meno. Mlozoea madili madili tu sada ni mwendo wa straight. Endeleeni kupiga kelele nyau nyie.
 
Mkuu wangu,hata binadamu aoge vipi,hawezi kuacha kunuka.Kama hauamini,nenda chooni uchuchumae.Asante mkuu wangu.
Ahsante kwa kunijibu mkuu.!
kwanza nikuombe radhi ile post niliyotoa kukujibu imeniumiza sana ndani yangu dhamira yangu imenitesa sana!
sio mtu wa kariba ya kutoa lugha chafu sikujui hunijui tumekutana humu na yunatofautiana mitazamo nikiri kuwa nimetumia lugha mbaya kukujibu

Naomba msamaha kwa hilo niwie radhi.

Mwisho jibu lako limenipa ahueni na naona sasa niko salama kihisia.
nikutakie siku njema na kazi njema mkuu.

Tunatofautiana mitazamo lakini sikuwa na haki ya kukutolea maneno ya kuudhi ama kukera.
 
Mkuu wangu,huwa tunaghafirika tu.Maanani atuongoze,Inshaallah!Nipo mwepesi ajabu.Tutofautiane tu ila tusikwame sehemu.Asante sana mkuu.
 
Back
Top Bottom