Uelewa wa Ulimwengu unatisha Maajabu ya Jua (Sun) nilichoona 5-march-2018 huenda kuna mabadiliko makubwa kila uchao.

impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
8,133
2,000
Hali iliyotokea juzi tarehe 5.03.2018 ilinitisha na kuniogofya nisijue nini cha kufanya wala sikujua ni kitu gani kimesababisha Jua kubadirika na kutengeneza hali yenye utisho mpaka sasa nimejaribu kupitia makala mbalimbali kwa siku tatu lakini sijapata majibu hikii.

Kilichotokea.
Ilikuwa mda wa saa 6:45 mchana nikiwa mashambani huku nikipiga picha kutumia camera ndogo ya kisasa Jua lilikuwa kali sana likichoma lakini cha kushangaza Jua lilipunguza mngao ghafla nilianza kuona kitu kama rangi rangi za kila namna zikiangaza pale chini ktk ardhi.

Nilishituka hali iliyonipelekea kutazama angani nilichokiona kilinishitua sana Jua lilionyesha kukosa ung'aavu ingawa lilichoma sana na lilitengeneza duara mawinguni iliyoweka weusi flani kupunguza mng'ao wa Jua na wingu lililokuwa la duara lilitengeneza rangi za kila namna ktk mzunguko wake.

Nilivaa miwani ya Jua ambayo siku zote kama mtafiti huwa siiachi ili nilitazame vema Jua niliona kidoti kikubwa kama nusu ya Jua lote nilijita hidi kuangaza vizuri ili nigundue Jua limepataje kidoti kikubwa namna ile.

Nilipochunguza vyema maana ilinibidi nilale chali nilichokiona lilikuwa ni kama tundu kubwa ambalo kwa mwonekano wa Jua tukiwa hapa duniani ungeweza kuingiza mpira wa miguu wa namba 6.

Nilichukua camera na kuanza kupiga picha ili nipate ushahidi kwa ambao nitawaelezea na niendelee na utafiti kutafta majibu kwa wenye uelewa zaidi.

Ghafla Jua lilirudisha mng'ao wake halisi na kidoti kile kilifutika na mviringo ktk mawingu ulitoweka na zile rangi rangi zote nilianza kuchukua video haraka lakini cha kushangaza camera ilizima ghafla,.

Nilipofika nyumbani nilitoa memory card kuweka kwenye PC haikuonyesha chochote kila kitu kimefutika, na nilijaribu kuchaji camera ikakataa na nimepeleka camera kwa fundi anasema imeungua haitawezekana kutengeneza.

Jee hii hali kuna yeyote amewahi kuishuhudia naomba mchango wa mawazo.

Hasa ni kitu gani hiki

Maana ktk Jua sioni kidoti wala tundu!
 
impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
8,133
2,000
350px-Solar_sys~6.jpg
 
MALDIN

Member
Apr 5, 2016
89
125

Ulikuwa unaota.
 
PatriceLumumba

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
424
1,000

HABARI,
"impongo,
Hongera kwa hadithi nzuri na ya kuvutia jitahidi sana kama unaweza kuandika kitabu juu ya hii story tena kama inawezekana kitabu kipe jina la MAAJABU YA JUA.Hilo jambo uliloliona sijalisikia hata kwenye vyombo mbalimbali vya mambo ya anga duniani ambavyo vina satellite na Darubini nyingi zinazochunguza jua kwa masaa 24.Na ukichukulia ukubwa wa Jua dunia yetu inaingia mara milioni 1.3-1.5 ili kufikia ukubwa wa jua sasa hiyo doti uliyoiona ina maana ni zaidi ya dunia ulfu 50 au zaidi Ingekuwa rahisi kuoneka na vyombo hivyo ila inawezekana ikawa ni moja ya maajabu ya dunia.
Ila ndio mwanzo wa kuwa mchambuzi wa mambo ya anga usikate tamaa unaweza kua na dhana yako na ikawa msaada kwa elimu ya anga kwa mfno kitu kama hiko kinaweza kuwa kiliwai kutokea zamani sana ila hakijawekwa kwenye kumbukumbu.
Hapo sikatai wala sikubali ukweli juu ya hadithi yako ila nakupongeza.

LUMUMBA
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
8,817
2,000
Hali iliyotokea juzi tarehe 5.03.2018 ilinitisha na kuniogofya nisijue nini cha kufanya wala sikujua ni kitu gani kimesababisha Jua kubadirika na kutengeneza hali yenye utisho mpaka sasa nimejaribu kupitia makala mbalimbali kwa siku tatu lakini sijapata majibu hikii.

Kilichotokea.
Ilikuwa mda wa saa 6:45 mchana nikiwa mashambani huku nikipiga picha kutumia camera ndogo ya kisasa Jua lilikuwa kali sana likichoma lakini cha kushangaza Jua lilipunguza mngao ghafla nilianza kuona kitu kama rangi rangi za kila namna zikiangaza pale chini ktk ardhi.

Nilishituka hali iliyonipelekea kutazama angani nilichokiona kilinishitua sana Jua lilionyesha kukosa ung'aavu ingawa lilichoma sana na lilitengeneza duara mawinguni iliyoweka weusi flani kupunguza mng'ao wa Jua na wingu lililokuwa la duara lilitengeneza rangi za kila namna ktk mzunguko wake.

Nilivaa miwani ya Jua ambayo siku zote kama mtafiti huwa siiachi ili nilitazame vema Jua niliona kidoti kikubwa kama nusu ya Jua lote nilijita hidi kuangaza vizuri ili nigundue Jua limepataje kidoti kikubwa namna ile.

Nilipochunguza vyema maana ilinibidi nilale chali nilichokiona lilikuwa ni kama tundu kubwa ambalo kwa mwonekano wa Jua tukiwa hapa duniani ungeweza kuingiza mpira wa miguu wa namba 6.

Nilichukua camera na kuanza kupiga picha ili nipate ushahidi kwa ambao nitawaelezea na niendelee na utafiti kutafta majibu kwa wenye uelewa zaidi.

Ghafla Jua lilirudisha mng'ao wake halisi na kidoti kile kilifutika na mviringo ktk mawingu ulitoweka na zile rangi rangi zote nilianza kuchukua video haraka lakini cha kushangaza camera ilizima ghafla,.

Nilipofika nyumbani nilitoa memory card kuweka kwenye PC haikuonyesha chochote kila kitu kimefutika, na nilijaribu kuchaji camera ikakataa na nimepeleka camera kwa fundi anasema imeungua haitawezekana kutengeneza.

Jee hii hali kuna yeyote amewahi kuishuhudia naomba mchango wa mawazo.

Hasa ni kitu gani hiki

Maana ktk Jua sioni kidoti wala tundu!
kuna sayari ili obstruct vision line yako si kitu cha kutisha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom