Recent content by Malchiah

  1. Malchiah

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba aishiwa nguvu na kudondoka wakati anahutubia leo Septemba 7, 2026

    Mungu akujalie kheri na uponyaji wa haraka baba,umekuwa mstali wa mbele kuipigania Tanganyika halisi bila unafki.
  2. Malchiah

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kutoa Ushahidi kumtetea Tundu Lissu Mahakamani leo Agosti 31, 2026. Kesi imeahirishwa hadi Kesho

    Yaani anachofanya Lisu ni sawa na kumtega panya kwa kipande cha nyama ya kuku inayonukia vizuri. Nyama kaila na kujiona mshindi,kumbe ni mtego,sasa amenasa,ni mwendo wa kuponda kichwa,hakuna huruma. Go Lisu. Shukrani pia mleta update.
  3. Malchiah

    JamiiForums Tanzania DC Magoti-Kisarawe: Ujumbe wako toka kwa wananchi, polisi wanyanyasa kwa ruksa yako usiku wa manane!

    Kwahiyo na haya yanayoendelea yanasababishwa na Chadema? Eeeh Mungu sikia kilio cha watu wako,hii nchi imekosa uongozi. Ila pia haka kajamaa kama mtindio mahali(kamagoti).
  4. Malchiah

    JamiiForums Tanzania Waziri Jumaa Aweso amsimamisha kazi Meneja wa Usambazaji wa MWAUWASA kwa kushindwa kutekeleza majukumu

    kiukweli sijaona la maana waziri amefanya,meneja aliemsimamisha kazi ana mabosi wake juu yake na sio wahandisi wa mitambo. Tunaendesha mashirika mengi kisiasa ndio maana tuna nchi nzuri isiyo na maendeleo yanayoeleweka. Mkurugenzi ni mwandishi wa habari TM ni mhandisi wa mazingira,yaani vurugu...
  5. Malchiah

    JamiiForums Tanzania Men's talk: unaoa tabia, shape au bikira?

    Tabia. Kwangu hii ni muhimu,ili kubalance maisha. Mtu mwenye tabia njema ndani mwake,ni rahisi kujirekebisha na kujiboresha any time.
  6. Malchiah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwasili nchini Urusi kwa ziara ya kitaifa

    Hii nchi ina usanii sana,sijawahi kuona...... Rais hatuna.
  7. Malchiah

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

    Una miche ya peas na bei gani?
  8. Malchiah

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kweli boss,kuna ujinga unafanyika,yaani unakuta ushangae! Like hawa huwa wanapokea aina gani ya maelekezo? Kipindi cha kwanza zimepotea nafasi tatu za kufunga,yaani mtu yupo kwenye position anatoa pasi kwa mtu alie out of..
  9. Malchiah

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Pamoja na ushindi leo,arsenal haijacheza vizuri,kwa maana ya kupoteza nafasi muhimu. Kiukweli kunakitu kocha anamis kwenye namna ya kuwafanya wachezaji waone umuhimu wa hizi mechi zilizobaki. Kipa amefanya kazi yake vizuri sana,tunaamini mwaka huu Arsenal atanyanyua kwapa,pamoja ni kwa taaabu.
  10. Malchiah

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba: Watanzania tunapaswa kuishi kwa misingi ya upendo, unyenyekevu, haki na uwajibikaji

    Mngeanza nyie kuyaishi hayo,sio kujifanyisha wema kumbe wanafki tu. Hivi mnaamini mtakuwa kwenye hivyo viti milelee? Tunaendelea kupiga magoti kumlilia,tunaamini Mungu sio kiziwi.
  11. Malchiah

    JamiiForums Tanzania Kuacha kazi nzuri kutokana na pressure kubwa

    Una mpango gani baada ya kuacha kazi? Kwangu sijaona sababu ya msingi wewe kuacha kazi. Unapaswa kuekewa hizi fursa haziji mara kwa mara. Leo una kazi, ila wapo wenye elimu kubwa kukuzidi wanasota na vyeti maofisini kuomba kazi. Embu jitathmini kabla ya kuwa na kazi na baada ya kuwa nayo,ni mtu...
  12. Malchiah

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mpira mzuri,leo manU imestahili huu ushindi naona morali ya wachezaji imeongezeka na mpira umechezwa old Trafford. Keep it up Carrick
  13. Malchiah

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hiviii tutawaeleza nini waja,kwamba hii ndio liva iliyochukua ubingwa na ligi bora duniani msimu ulioisha?! Yaani unafungwa mechi 9 kati ya 12,like serious! I wonder..
  14. Malchiah

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Mwigulu: Acha Ufyatu - Kuharibu Muharibu Nyie, Kuwalaumu Muwalaumu Wale!

    Anajalibu kupandikiza uoga kwa watu,anasahau kuwa Tanzania ya leo sio ile ya jana. Wamekuwa waongo kiasi hata cha kusimama madhabahuni na kuunadi bila aibu,ila wajue siku yaja watakapopata ujira wa huu upuuzi wao.
Back
Top Bottom