Recent content by MALANGA LANGA

  1. MALANGA LANGA

    JamiiForums Tanzania Ifahamu nchi ambayo haina maskini hata mmoja, wote ni matajiri

    Sasa uyo mchezaji ana cheza mpira ili kiwe nini?
  2. MALANGA LANGA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakasirika kila mara mke wangu ananiambia ananipenda. Kuna haja gani sasa?

    Nahisi wewe ni mimi coz wanawake wengi sana niliowaacha niwale walionipenda kupitiliza mi ni mwoga sana wakuwa chizi au kuuliwa
  3. MALANGA LANGA

    JamiiForums Tanzania Afrika: Kabila la Mangbetu kuna baadhi ya mila na desturi tuachane nayo ni ukatili kwa watoto

    Mda ambao watoto walikichina wa darasa lapili wanatengeneza taa ndo mda ambao muafrika mwenye miaka 50 anamvuta mjukuu wake kichwa [emoji1] [emoji1787] [emoji23]
  4. MALANGA LANGA

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Vyama vya upinzani vyaagiza wananchi kupanda migomba katika barabara zenye mashimo

    Utaskia jeshi lina usafi wa bara bara saa wakukute [emoji1] [emoji1787] [emoji23]
  5. MALANGA LANGA

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Maandamano ya Bobi Wine yazimwa. Wanajeshi wamdhibiti kabla hajatoka nyumbani kwake

    Chama cha Mseveni ni kama CCM kina wenyewe [emoji1] [emoji1787] [emoji23]
  6. MALANGA LANGA

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yapiga marufuku biashara ya Nyama kutokana na kusambaa kwa Kimeta

    Mimi wangenifunga
  7. MALANGA LANGA

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kabla Serikali haijaruhusu Watanzania kufanya vibarua Israel wajirithishe uwezo wa sasa wa Israel kujilinda na kulinda raia wake

    Wimbi lakwenda kutafuta ela nchi za wenzetu limepungua kwa kasi ya ajabu mno yani kama mtu hauna nyumba umepanga chumba kimoja nawenye mikopo wanawakopesha mpaka m1 saa uko wafwate nini
  8. MALANGA LANGA

    JamiiForums Tanzania Enyi madereva wa masafa marefu acheni roho mbaya dhidi ya wasaidizi wenu matingo

    Aliekwambia hasaivi tunatembea namatingo nani huyo? Zamani mlikuwa mnatembea namatingo sababu Tanzania nzima mafundi wa scania walikuwa wanapatikana Dar tu ila hasaivi mafundi scania na spare mpaka chato unapata
  9. MALANGA LANGA

    JamiiForums Tanzania "Single Again" ya Harmonize yaingia tano bora ya Spotify Best Afrobeats Songs of 2023

    Domo akishindwa utaskia simmeona kuna wanangu wameanza kubeba tunzo
  10. MALANGA LANGA

    JamiiForums Tanzania Kama Wakenya wameweza, sisi tunashindwa kwenda kujifunza kwao?

    Inasemekana Tanzania ni chaneli ya katuni uko mbinguni
  11. MALANGA LANGA

    JamiiForums Tanzania Usijichanganye ukachukua “Simu za mkopo”

    Ninauwakika unakaa kwawazazi wako kwa hichi ulichokiandika
  12. MALANGA LANGA

    JamiiForums Tanzania Usijichanganye ukachukua “Simu za mkopo”

    Kama utashindwa kulipa elfu mbili au elf moja mia tano kwasiku kwakisingizio labda chakuumwa maana ake hata uo ugonjwa uliopata utakuua
  13. MALANGA LANGA

    JamiiForums Tanzania Usijichanganye ukachukua “Simu za mkopo”

    Mkuu kuna mtu anaweza kupata elfu40 kwa siku lakini akashindwa kupata laki kwa mwezi hivyo iyo simu anauwezo wakulipa vizuri pasipo kufungiwa ila hawezi kutafuta laki tatu Kesh akanunua mpya hivyo maisha nikuchagua mi nikajua umeanzisha thread kuwa wenye simu wanawafanyia uhuni wanaochukua simu...
  14. MALANGA LANGA

    JamiiForums Tanzania Mafuriko yatokea Rudewa Mkoani Morogoro leo Desemba 5, 2023

    Kwani thread inasemaje?
Back
Top Bottom