Tatizo letu Watanganyika Ccm imetujaza fikra za uoga tokea mwanzoni, huku tukidanganywa na kuvuli cha Amani, Huku tukijidanganya kuwa Ukombozi Utakuja kama zawadi au kushushiwa na Mwenyezi Mungu,
Ukombozi wa kweli huja kwa Jasho,akili,na moyo uliokufa. Ona mfano Wamisri Mioyo yao wananchi...