Chadema Wafanye Mkutano mkubwa Dar Haraka maana karibia wakamatwe

We, Majimshindo.
Mtu wa ajabu kweli. Unafurahia umeme kukatwa hovyo, bei za umemem kupandishwa 'beyond' uwezo wa walahoi, kuwalipa makampuni hewa hela zetu na maufisadi mengine, asipite mtu wa kujitolea kuwaambia wananchi amkeni kuuliza kulikoni? Weewe ndugu hutaki watu wajue tunapelekeshwa miaka 50 tuna rasilmali kibao lakini bado twabaki mkia wa maskini wa dunia. Aisee futa kauli yako
 
&lt;br /&gt;<br
Good Reasoning Martina,Dar is unpredictable when it comes to voting!!
Nakubaliana na wewe kwamba maeneo mengi ya Dar yanayokaliwa na "wazawa" kuna Unafiki mwingi,Nevertheless,tusife Moyo,hiki kizazi cha Wazawa kinazidi kuhamishwa and soon we shall observe change!!
sioni haja ya kuwekeza Dar kabisa bora maradufu lake zone.
Dar maenoe ya wazawa wengi hayana mwelekeo kisiasa, WOTE CUF shangaa hata siku moja CUF haijawai kupata Diwani Dar.
 
Ikiwa viongozi wa Chadema turufu yao wanayoitumia ni maandamano basi wajuwe hawana ubunifu wala muelekeo.

Kwa upande wangu, naona hata JK bado anawabembeleza sana. Laiti ningekuwa mimi ndie nnaongoza, saa hizi kusingekuwa na kiongozi wa Chadema anatembea mitaani kuhamasisha uvunjifu wa amani.

Ingekuwa kweli wanayoyasema yote yana ukweli wangetumia njia za amani na si hizi za kuandamanisha watu kwa majungu.

Nasema, serikali iwashughulikie kisheria hawa waanzisha fujo haraka iwezekanavyo. Kwa nini inawaona wanaanzisha maandamano yasiyo na maana yoyote halafu inawaacha tu waendelee? Serikali iwafungulie mashitaka ya uvunjaji wa amani haraka iwezekanavyo.
I dont get it, hivi hao wanaowasupport chadema kwenye maandamano wote wanaakili mbovu, au wanautindio wa ubongo. and that is something i refuse to belive, but i can belive in majority there are minority who are stupid, they can not reason out and analyze things, wanaleta ushabiki tu. they believe everything they are told. Nani kakuambia wanahamasisha uvunjifu wa amani. tafuta sababu kwa nini watu wanawasupport and let JK, Mrema, Cheyo and others waweke mkutano uone turn out itakuwaje then jiulize Why???
 
Simple mind mabulangati, kumbe unajua tuko utumwani bado???cghadema wabnapoongelea ufisadi, maadili kupungua, mikataba ya ajabu, safari zisizokuwa na tija,mfumuko wa bei, majambazi kuongezeka, ukosefu wa ajira, ukosefu wa ubunifu,katiba mbovu kumlevya raisi, ubabe wa bunge, usimamizi mbovu wa rasilimali, ubovu wa huduma ya afyam, umeme maji ....................kipi ambacho kimepotoshwa????????rudi standard one uanze shule upya!
 
Simple mind mabulangati, kumbe unajua tuko utumwani bado???chadema wanapoongelea ufisadi, maadili kupungua, mikataba ya ajabu, safari zisizokuwa na tija,mfumuko wa bei, majambazi kuongezeka, ukosefu wa ajira, ukosefu wa ubunifu,katiba mbovu kumlevya raisi, ubabe wa bunge, usimamizi mbovu wa rasilimali, ubovu wa huduma ya afyam, umeme maji ....................kipi ambacho kimepotoshwa????????rudi standard one uanze shule upya!
 
serikali yenu omba-omba haina ubavu wa kukamata na kuwaweka vizuizini viongozi wa upinzani. labda mtu wenu awe ameacha mchezo wake wa kusafiri kila wiki kwenda kucheka-chaka na kina Sarkozy

Juzi juzi Arusha walirundikwa ndani na kesi inaendelea. Ngoja sasa waendelee halafu utajuwa mkono wa dola ni mrefu.
 
I dont get it, hivi hao wanaowasupport chadema kwenye maandamano wote wanaakili mbovu, au wanautindio wa ubongo. and that is something i refuse to belive, but i can belive in majority there are minority who are stupid, they can not reason out and analyze things, wanaleta ushabiki tu. they believe everything they are told. Nani kakuambia wanahamasisha uvunjifu wa amani. tafuta sababu kwa nini watu wanawasupport and let JK, Mrema, Cheyo and others waweke mkutano uone turn out itakuwaje then jiulize Why???

Hao wanao wa support kina Chadema wamekuwa brainwashed, wanadanganywa, na hakuna njia rahisi ya kupata support kama kudanganya. Hivi ni mangapi yana ukweli anayosema Silaa?
 
Simple mind mabulangati, kumbe unajua tuko utumwani bado???chadema wanapoongelea ufisadi, maadili kupungua, mikataba ya ajabu, safari zisizokuwa na tija,mfumuko wa bei, majambazi kuongezeka, ukosefu wa ajira, ukosefu wa ubunifu,katiba mbovu kumlevya raisi, ubabe wa bunge, usimamizi mbovu wa rasilimali, ubovu wa huduma ya afyam, umeme maji ....................kipi ambacho kimepotoshwa????????rudi standard one uanze shule upya!
 
Ikiwa viongozi wa Chadema turufu yao wanayoitumia ni maandamano basi wajuwe hawana ubunifu wala muelekeo.

Kwa upande wangu, naona hata JK bado anawabembeleza sana. Laiti ningekuwa mimi ndie nnaongoza, saa hizi kusingekuwa na kiongozi wa Chadema anatembea mitaani kuhamasisha uvunjifu wa amani.

Ingekuwa kweli wanayoyasema yote yana ukweli wangetumia njia za amani na si hizi za kuandamanisha watu kwa majungu.

Nasema, serikali iwashughulikie kisheria hawa waanzisha fujo haraka iwezekanavyo. Kwa nini inawaona wanaanzisha maandamano yasiyo na maana yoyote halafu inawaacha tu waendelee? Serikali iwafungulie mashitaka ya uvunjaji wa amani haraka iwezekanavyo.

Tatizo ni kwamba unafikiri kwa kutumia Moyo (Hisia) na siyo Ubongo (Fact and figures). Itakusumbua sana huko mbele ya safari!!!
 
Slaa hana lolote ni kutaka umaarufu tu,bado hamjanishawishi,kwani ugumu wa maisha umeanza baada ya Slaa kushindwa uraisi?mbona alipokuwa mbunge hakuandamana?
 
wape vitu vyao,
lakn jk hakuonana na Sarkozy, sarkozy hana mda wa kukutana na vilaza
serikali yenu omba-omba haina ubavu wa kukamata na kuwaweka vizuizini viongozi wa upinzani. labda mtu wenu awe ameacha mchezo wake wa kusafiri kila wiki kwenda kucheka-chaka na kina Sarkozy
 
Ikiwa viongozi wa Chadema turufu yao wanayoitumia ni maandamano basi wajuwe hawana ubunifu wala muelekeo.

Kwa upande wangu, naona hata JK bado anawabembeleza sana. Laiti ningekuwa mimi ndie nnaongoza, saa hizi kusingekuwa na kiongozi wa Chadema anatembea mitaani kuhamasisha uvunjifu wa amani.

Ingekuwa kweli wanayoyasema yote yana ukweli wangetumia njia za amani na si hizi za kuandamanisha watu kwa majungu.

Nasema, serikali iwashughulikie kisheria hawa waanzisha fujo haraka iwezekanavyo. Kwa nini inawaona wanaanzisha maandamano yasiyo na maana yoyote halafu inawaacha tu waendelee? Serikali iwafungulie mashitaka ya uvunjaji wa amani haraka iwezekanavyo.

Toa ushadidi wa uvunjifu wa amani na sio kuropoka tu kam umekula kiporo cha wiki
 
Kesi za uhaini si rahisi vile zinahitaji ushahidi wa kutosha na wa kina kumbuka CDM ilipofika si yakubambika tatizo, kwa nchi yetu tegemezi hii ukibambika mtu kesi wakagoma kukupa msaada waafa hata kabla ya nguvu ya umma kutumika.
 
Ukweli Hakuna mji ulio na watu wa uelewa mdogo kama Dar,tunapata kila kitu magazeti,radio,vituo vya tv,internet na nk, sasa sijui ni uoga au ujuaji uliokidhiri? kwa ujumla hatuna mwamko kama vile hatuguswi na hali halisi inavyoendelea serikalini tupotupo tu,Dar tulitakiwa tuwe mfano lkn mifano tunapata toka vijijini ambako ufikaji wa habari ni wa matatizo mno na TUWAPONGEZE WATU WA VIJIJINI KWA KUTUZIDI UELEWA.
Mfano; Mwaka 2005-2010 ni Mji mkuu mmoja tu wa Moshi ulitoa mbunge wa upinzani Mh Ndesa Pesa na wabunge wengine wakitoka vijijini ndio walioleta changamoto ktk bunge lililopita lkn Dar ambao tunapata habari kwa haraka hatukuchagua hata mbunge mmoja.
mwaka 2010-2015 sina takwimu sahii lkn haizidi miji mikuu 10 tumechagua wabunge wa upinzani lkn waliobaki wametoka vijijini na Dar tumepata wabunge wawili tu.
Sasa je wa mijini na vijijini wapi kuna uelewa mpana zaidi? ukweli wa Mijini tunatakiwa TUELIMISHWE ZAIDI licha ya kujiona tuna uelewa mpana na urahisi wa upatikanaji wa habari, Tuwe wakweli.
 
Ikiwa viongozi wa Chadema turufu yao wanayoitumia ni maandamano basi wajuwe hawana ubunifu wala muelekeo.

Kwa upande wangu, naona hata JK bado anawabembeleza sana. Laiti ningekuwa mimi ndie nnaongoza, saa hizi kusingekuwa na kiongozi wa Chadema anatembea mitaani kuhamasisha uvunjifu wa amani.

Ingekuwa kweli wanayoyasema yote yana ukweli wangetumia njia za amani na si hizi za kuandamanisha watu kwa majungu.

Nasema, serikali iwashughulikie kisheria hawa waanzisha fujo haraka iwezekanavyo. Kwa nini inawaona wanaanzisha maandamano yasiyo na maana yoyote halafu inawaacha tu waendelee? Serikali iwafungulie mashitaka ya uvunjaji wa amani haraka iwezekanavyo.

we shemeji wa mkwere nin? naona mnaendana na upo kikujikombakomba hiv ka vile kakuolea dada ako sa unajipendekeza
 
...

CHADEMA wajipange upya waje na new strategies za kupambana na malaghai yanayoiangamiza nchi yetu. Strategy ya kucheza na hisia za watanzania zinaanza kuwachosha watu na kuwafanya ccm wawe sugu. Waje na mbinu nyingine kuaibisha madhalimu. Mfano mzuri ni kutumia fedha wazotumia kwa maandamano kutunisha mifuko ya maendeleo katika majimbo yao kama walivyoanza Mh. Lema na baadhi ya wabunge wengine.

Muda wa majungu ya siasa umepita sasa tutumie majungu ya kisayansi kuijenga nchi na kuaibisha madhalimu. kwa mfano tufanye liwezalo kumsahuri rais katika kupata wakurugenzi wa idara nyeti kwa kutumia misingi ya kitaalamu na siyo kisiasa kama kiongozi wa TAKUKURU, Usalama wa Taifa (CID), Tume ya mipango, tume ya haki za binadamu, tume ya uchaguzi, msajili wa vyama vya siasa nk pia kuondoa taasisi zisizokua na sababu ya kuwepo yaani zinazofanya kazi zinazoingiliana kama mkukuta, mkurabita nk. pia kwa maslahi ya nchi katika kupanga muundo wa serikali, muundo wa mahakama. Haya yote ni hujuma kwa madhalimu na mwisho wake ni kuwadhalilisha bila kujali wanatokea chama gani cha kisiasa maana wanasiasa wote lao sawa ila mipango ndiyo tofauti.

Mkuu unaonekana ni mtu mwenye imani sana. Kwanza hapo kwenye bluu, maendeleo ya nchi hayawezi kuletwa kwa pesa ya vyama bali kwa kuelekeza rasilimali za taifa ipasavyo kwenye vipaumbele sahihi vya maendeleo. kwa kifupi, dhana ya mifuko ya maendeleo ya majimbo ni jambo la PR zaidi kuonyesha moyo tu wa kutatua matatizo kama alivyofanya Lema kuziba upungufu. Ni jambo zuri lakini si mkakati sahihi wa kitaifa.

Hapo kwenye nyekundu ni lazima uwe mtu wa imani kubwa kudhani kuwa CHADEMA wanaweza kumshauri na kumkubalisha rais kufanya mambo ya maana. Kwanza sijui umewezaje kufikiria tu kuwa rais ana tatizo la kutoelewa mambo ya msingi ya kazi yake na/au kukosa washauri wa masuala hayo? Huoni kuwa kutofanyika kwa hayo unayopendekeza ni kitendo cha makusudi na chenye "manufaa" kwa mtendaji? Naona unahitaji kutafakari upya mawazo yako.
 
...

Hamshangai CUF hawajai kuwa na mbunge Dar, Dar is all about CCM VOTERS hasa kwa wanaojiita wazawa, ubungo na Kawe kuna upinzani kwa kuwa kuna wahamiaji wengi wa miaka ya karibuni.

STATERGICALLY DAR SIO MAHALI PA CDM wala CUF kuwekeza nguvu nyingi.

Hii kitu inashangaza sana. Tuseme hawa wazawa wa DSM wana mfumo wa utambuzi ulio tofauti sana na wa wananchi wengine? Hawana dhiki wala hawaoni kasoro yoyote katika uongozi wa nchi katika mustakabali wa maisha yao; yaani wao CCM ni kama klabu ya mpira?
 
Ikiwa viongozi wa Chadema turufu yao wanayoitumia ni maandamano basi wajuwe hawana ubunifu wala muelekeo.

Kwa upande wangu, naona hata JK bado anawabembeleza sana. Laiti ningekuwa mimi ndie nnaongoza, saa hizi kusingekuwa na kiongozi wa Chadema anatembea mitaani kuhamasisha uvunjifu wa amani.

Ingekuwa kweli wanayoyasema yote yana ukweli wangetumia njia za amani na si hizi za kuandamanisha watu kwa majungu.

Nasema, serikali iwashughulikie kisheria hawa waanzisha fujo haraka iwezekanavyo. Kwa nini inawaona wanaanzisha maandamano yasiyo na maana yoyote halafu inawaacha tu waendelee? Serikali iwafungulie mashitaka ya uvunjaji wa amani haraka iwezekanavyo.

Chadema haiwalazimishi watu kuhudhuria mikutano, watu wanakwenda wenyewe hivyo ni utashi wa wananchi.
 
Back
Top Bottom