JK ukiwalipa Dowans na wewe uondoke ikulu

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Watanzania tuamue sasa, tumenyonywa vya kutosha na tumenyanyaswa vya kutosha.

EPA,MEREMETA,KAGODA,ATCL,RELI, IPTL N.K

Akina mama wajawazito na watoto wengi wamekufa kwa sababu ya kukosa huduma za afya.

Elimu duni, Shule za kata hazina waalimu wala maabara.

WAALIMU 16,000 WAMEMALIZA MAFUNZO NA HAWANA AJIRA ETI HAKUNA HELA, USANII MTUPU. MBONA WANAZO ZA KUWALIPA DOWANS?

Bidhaa zimepanda bei, hali ya maisha ni ngumu

Vijana wazururaji ni wengi, wakina dada zetu wamekuwa machangudoa (INASIKITISHA SANA).

SASA IMEFIKA WAKATI SASA TUANDAMANE MPAKA ATOKE IKULU, KWANZA ALICHAKACHUA KURA
 
Kweli Hatufai hata kidogo f**k huyo, aondoke. Hafai hata kua waziri wa Michezo,
 
Watanzania tuamue sasa, tumenyonywa vya kutosha na tumenyanyaswa vya kutosha.

EPA,MEREMETA,KAGODA,ATCL,RELI, IPTL N.K

Akina mama wajawazito na watoto wengi wamekufa kwa sababu ya kukosa huduma za afya.

Elimu duni, Shule za kata hazina waalimu wala maabara.

WAALIMU 16,000 WAMEMALIZA MAFUNZO NA HAWANA AJIRA ETI HAKUNA HELA, USANII MTUPU. MBONA WANAZO ZA KUWALIPA DOWANS?

Bidhaa zimepanda bei, hali ya maisha ni ngumu

Vijana wazururaji ni wengi, wakina dada zetu wamekuwa machangudoa (INASIKITISHA SANA).

SASA IMEFIKA WAKATI SASA TUANDAMANE MPAKA ATOKE IKULU, KWANZA ALICHAKACHUA KURA

Fanyeni kama tulivyofanya sisi Arusha.
 
Back
Top Bottom