hana wema tena, siamini msomi kama yeye anafanya mambo ya kipuuzi , naye naodha nafikili wamuache aoze tu hana maana anasubiri watu wanaded ndio anataka mazungumzo, madai si ya haki, ndio Maana watu kama Alfred Tibaingana alikuwa akitumia akili sana nyakati kama hizi hakuwa na mgebe kama za ili lijamaa, IGP ulimwengu unakuonaje unayetumia nguvu hivi , majambazi yamekushinda unapambana na CDM ukiona nchi ina police wanakaribiana na idadi ya Raia ujue hakuna Amani tena kazi kuchungana na kumfarahisha mfalme upate ugali, gwalide mnaomchezea alitoshi mnachezea damu za watu, sasa utaungana na Zombe aliyezomba wa Moro maana uumearibu jina lako sio mwema tena ila kaburu