Hawa CCM tuwajuao? Hiyo hadi atakapoamua JK, hakuna cha wajumbe wa NEC. Vikao vya CCM vipo hapo kubariki maamuzi ya viongozi. So long as powers that be hawajaamua ataendelea kubaki hapo alipo na kubwabwaja hata avurunde namna gani. By the way, nimekutana na wale wana CCM hasa ambao ni baadhi ya wajumbe wa NEC wanamsifia sana Makamba kwa ufafanuzi alioutoa na wanasema amefanya kazi nzuri kuzima kelele za CDM. Sikio la kufa halisikii kofi, hata ulipigeje!!
Hakuna namna ya kuirekebisha CCM isipokuwa kwa kuiweka pembeni. Tuache kabisa matumaini kwamba kuna siku CCM itakuja badilika, hakuna kitu kama hicho. CCM's illnesses are as chronic as those of KANU, ZANU-PF, UNIP, Malawi Congress Party and other parties that were around when African countries were granted/fighting for their independence. Let's face it, CCM is a moribund party that will never resuscitate! It is therefore utterly hopeless to have any hope in this rather morgue party!