Tbc ni wahuni - wamepoteza mwelekeo!

kweleakwelea

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
3,066
1,535
TBC MNI WAHUNI!!!! siku ile baada ya kutoka Zanzibar kwenye maadhimisho ya mapinduzi yao wakarudisha studio na kuweka mapicha ya shida za wakimbizi. WAKATI HUO HUO MASHUJAA WETU WALIKUWA WANAAGWA aRUSHA. craaaaaaaaaaaaaaaaapppppppppp!.

WANADHANI WATANZANIA WA SASA HIVI WALIOBANIKA NA MAAMUZI YAO wanaogopa risasi kama wale wa enzi za Mrema?another big craaaaaaaaaaaaaaaappppppppp!
 
Hivi wewe ukiambiwa uwe shujaa kwa kufa kwa ajili ya kuandamana, ungekubali?
acha kudhihaki waliokufa.
wewe unadhani familia zao zitaishije baada?


TBC MNI WAHUNI!!!! siku ile baada ya kutoka Zanzibar kwenye maadhimisho ya mapinduzi yao wakarudisha studio na kuweka mapicha ya shida za wakimbizi. WAKATI HUO HUO MASHUJAA WETU WALIKUWA WANAAGWA aRUSHA. craaaaaaaaaaaaaaaaapppppppppp!.

WANADHANI WATANZANIA WA SASA HIVI WALIOBANIKA NA MAAMUZI YAO YA KISE**E wanaogopa risasi kama wale wa enzi za Mrema?another big craaaaaaaaaaaaaaaappppppppp!
 
Kwa ujumla Tbc Inakela,Pia Joe Kiampa anakela anaposoma magazeti anaogopa kusoma habari yoyote inayokosoa serikali na Jk anajifanya kama haioni, watu kama hawa siku ya ukombozi wanajifanya viherehere wa kutoa habari wakati kwenye harakati wanafyata mikia.
 
iMEANDIKWA ATAKAYE KUIPONYA NAFSI YAKE HUIANGAMIZA! NI BORA KUFA LAKINI FUTURE YA WATOTO NA WAJUKUU IWE ISIWE NA KIZA KULIKO ILIVYO HIVI SASA!!! NYIE NDIO MABAZAZI WA ccm MLIO NA VILAPTOP VYENU MNASUBIRI BINTI ZETU WAJE UNIVERSITY MUWAHONGE HELA YA CHAKULA MUWAPE UKIMWI! WABINAFSI WAKUBWA PAMBAAAAAAAAAAAAAAAAFFFFFFFFFF!!!!. BORA NIFE BINTI YANGU APEWE MKOPO TIMELY! NA ASIINGIE MTEGONI MWA MABAZAZI KAMA NINYI ! WEWE SIO amani -baraka bali vurugu-laana CRAAAAAAAAAAAAAPPPPPPPPPP!!!
 
Hivi wewe ukiambiwa uwe shujaa kwa kufa kwa ajili ya kuandamana, ungekubali?
acha kudhihaki waliokufa.
wewe unadhani familia zao zitaishije baada?
Sijakuelewa, hivi waliokufa waliambiwa wafe?? Kama hutajali tafakari tena hoja yako mkuu.
 
tbc mni wahuni!!!! Siku ile baada ya kutoka zanzibar kwenye maadhimisho ya mapinduzi yao wakarudisha studio na kuweka mapicha ya shida za wakimbizi. Wakati huo huo mashujaa wetu walikuwa wanaagwa arusha. Craaaaaaaaaaaaaaaaapppppppppp!.

Wanadhani watanzania wa sasa hivi waliobanika na maamuzi yao wanaogopa risasi kama wale wa enzi za mrema?another big craaaaaaaaaaaaaaaappppppppp!

wewe kupotea kwa mwelekeo ni tokea lini ? Ni katika tukio la arusha na madai ya uchakachuaji wa picha za maandamano au tangu uchaguzi majimboni? Jamani tuweni wakweli tukisutwa tujirekebishe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom