Mkuu muendelezo wa lile gari letu ni huu,nimeinunua nimeitengeneza tayari imeingia Road,nazunguka nayo mjini hv sasa/Karibu Boko-Mbweni utaiona ndio nyumbani kwake hv sasa….✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿
ITV walionyesha picha ya gari la Chadema likiwa nje ya uwanja watu wamelizunguka na kukata picha/ilihitaji umakini sana kuweza kuigundua picha hiyo ni jambo ambalo lilichukua sekunde kadhaa tuu....
Ile gari uliyodhani ni kama natania ni hii hapa inaendelea na matengenezo nitakurudia ikiwa tayari pia chief,shukrani kwa mawazo barikiwa sana mkuu[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Pole na msiba ila mwamba mbwa hafariki/binadamu anapewa staha/heshima kwa kusema amefariki,jitunzie heshima yako na binadamu wengine mkuu.Mbwa anakufa kama vile biashara mimea na magari yanavyokufa mkuu...Pole sana kwa kifo cha mfugo wako broth'
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.