Mkuu kama model namba ni 190E atapaje ya diesel ? Hizo herufi baada ya namba za merc zina maana yake,ya diesel namba ingefuatiwa na herufi D,kwa mfano 190D. Kwa hiyo namba ikifuatiwa na herufi E haiwezi kuwa ya diesel sasa atapaje diesel ? Siku hizi mfumo wa utambuzi wa hizo namba umebadilika kidogo lakini diesel bado ina identification tofauti kama DGI au BlueTech lakini kama unafahamu magari zile herufi na namba zinatosha kukupatia information nyingi sana za gari.Inakula mafuta vizuri sana hasa ukiipata ya dizeli. Vipuli ni vingi ila bei imechangamka