Kisiwe na longolongo zozote. Serious seller tuwasiliane.
![]()
Kupatana Buy & Sell on Tanzania's #1 classifieds
Sell and buy used goods nearby - Kupatana is the best place to sell or buy new or used items in various categories like multimedia, cars, ready-to-wear, furniture… near youwww.zoomtanzania.com
Kisiwe na longolongo zozote. Serious seller tuwasiliane.
Nadhani jamaa ni wazuri,kuna jamaa yangu alinunua kutoka kwao na hakina mgogoro. Lakini pia,kwa kuwa bei yao ipo hadharani,basi wewe unaweza kutumia kama kipimo kuona kama unaweza kupata deal zuri zaidi.Pia jarinu kuulizia ulizia maana tangu Waziri ateme mkwara juzi,nadhani ku a watakaokuwa wanauza. Kwa ujumla nadhani wewe unafahamu jinsi viwanja maeneo yale bei yake ilvyochangmka. Kila la heri mkuu.Mkuu bila shaka hawa jamaa ni uhakika