Afadhali fisadi moja lilikuja Ukawa kuliko Mgombea wenu mnayedhani msafi anawanadi mafisadi wengi eti wasafi, Mfano akina Anna Tibaijuka na Chenge, Niaaibu sana,Toa kwanza boliti ndani ya jicho lako ndipo kibanzi kwa jirani,Ccm ni janga usiudanganye umma jamaa yangu,Hayo ni baadhi kunauchafu...