BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,810
Habari,
Kwa wale wataalamu wa biashara, hivi biashara yako inatakiwa itoe faida kiasi gani ukilinganisha na pesa ulivyo invest (in terms of percentage).
Kwa mfano, mimi nina biashara yangu ambayo nimeinvest shilingi milion saba na katika biashara hii faida ninayopata baada ya kuondoa gharama zote ni shilingi laki tatu na nusu tu (net profit) kwa mwezi. Kwa maana ya kwamba faida ninayopata ni asilimia tano ya pesa niliyowekeza, je? biashara hii inatoa faida nzuri?
Ni net profit ya asilimia ngapi inatakiwa kuwiana na mtaji ili useme biashara hii inatoa faida nzuri?
Asanteni sana wakuu.