Recent content by makuna202

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua clinic nzuri kwa wajawazito

    Wanatumia bima?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua clinic nzuri kwa wajawazito

    Habari wana JF, Jamani hivi ni hospitali gani nzuri kwa clinic ya wamama wajawazito na nzuri kwa kujifungulia na pia hospitali gani ina specialist wazuri kwa kina mama kwa mkoa wa Dar es salaam? Msaada wenu tafadhali
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada zilipo ofisi za RITA (Registration, Insolvency and Trusteenship Agency)

    Habarini wana JF Naombeni kufahamu ofisi za wakala wa usajili, ufilisi na udhamini (RITA) zipo wapi kwa mkoa wa Dar es salaam ?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni mafuta gani mazuri ya kichwani kwa wanaume?

    Habarini wana JF Naombeni mnijuze ni mafuta yapi mazuri kwa mwanaume mwenye nywele fupi tu za wastani. Yapi yanapendezesha nywele na kuzifanya ziwe nadhifu na za kuvutia?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nina mapenzi ya dhati; natafuta mchumba

    Karibu mgeni naona umeingia na spidi ya mwendo kasi..
  6. M

    JamiiForums Tanzania MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

    Daah kwa kweli inauma kupigwa hivi chanzo kutofanya home work tu au?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yanayotokea CUF, UKAWA mko wapi?

    Teh.....Teh......Teh....... Eti Hali ya jirani
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume jameni

    hahahaha
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kuishi ni majaliwa.
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemzaba makofi binti wa jirani kwa tabia ya kuoga nje na kunisalimia 'mambo'

    Watoto wa kidijitali hao.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sifa za kila mkoa Tanzania

    Nakusaidia kushanga aiseee
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sifa za kila mkoa Tanzania

    Mmmmmh............
  13. M

    JamiiForums Tanzania Alyewahi kuitwa kwenye usaili wa Ubalozi wa Korea!

    Habari zenu wana J.f Naombeni kuuliza kuna mtu yeyote humu alishawahi kuitwa kwenye usaili wa Ubalozi wa Korea Dar es salaam? Au anayejua kama usahili wao tayari au bado.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kukanushwa kwa taarifa za uongo zinazoenezwa mtandaoni kuhusu udahili wa wa TCU

    Hivi jioni ya Leo website ya TCU inafunguka kwa shida au hapa nilipo ndo mtandao shida jamani ?
Back
Top Bottom