Teh.....Teh......Teh.......Mbona kama umepanic mkuu
Kwan kuna ubaya gani kujua hali ya jirani...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
"umenielewa vibaya"..subiri hotuba nyingine labda utanielewa mkuu..ahahaahahahahaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Kw hyo kwa haya mapicha picha yanatosha kuthibitisha kwamba picha la ukawa lishaishirizia
Ni wachache tu ndo hudhania siasa ni uadui..Siasa sio uadui mkuu
"kwa kauli zake na matendo yake"Hahahaa kumbe ukereketwa hupimwa kwa plofile![]()
![]()
![]()
CV si utakimbia bure we mtoro wa shuleWeka CV ako apa nisije kukuhukumu bure
Wewe achana na kiingereza,kwanza mkulu kawaambia kiswahili kitatumika kimataifa.Any way lets back kwny mada maana habr za CV sio kipimo cha busara