Recent content by Makuchei

  1. Makuchei

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kauli hii ya mke wangu ni heshima au dharau?

    Mi naona X alikuwa akimuumiza na kumfanya mtumwa ila alipokutana na slow but sure aka appreciate sasa nyinyi mnavyomdis jamaa wakati bidada kafunguka hisia zake out ni nini? Mi namuunga mkono bidada kuongea ukwel sex sio vita ni starehe kufanywa sawa wengine hatupendi mweh!!!!!
  2. Makuchei

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliochaguliwa St Joseph University yametoka

    Shukran mkuu
  3. Makuchei

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliochaguliwa St Joseph University yametoka

    Ivi unajuaje km unechaguliwa chuo Fulani? Unaangalia kwenye account yako ya TCU au? Msaada tafadhali kwa anayefahamu
  4. Makuchei

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Hamisa Mobeto

    Tafuta hamisamobeto utampata
  5. Makuchei

    JamiiForums Tanzania Nina viuvimbe vidogo kama vinundu pemben ya sikio

    Mtoto wangu pia anavyo ila ni mdogo wa miaka miwili hawezi kujieleza km vinauma au vinawasha ila vinazaidi ya miezi miwili
  6. Makuchei

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii naweza kupata mkopo?

    Je km 1st year hukuapply ukajilipia 2nd year ukaomba kunauwtzekano wa kupata? Msaada tafadhal course ni education
  7. Makuchei

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serengeti Fiesta na Majanga waendako

    Je? Unataka kutuambia matukio mengine yote yanayoteka yanasababishwa na nn? Ni feista pia!!! Acha mawazo mgando japo ni mtazamo
  8. Makuchei

    JamiiForums Tanzania Vyuo vinavyotoa degree za mezani Tanzania!

    Nimeipenda hii kumbe mambo ndo yako hivyooooo?!!!!
  9. Makuchei

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inawezekana wanawake wengi wakawa hawafikishwi kileleni

    Kiuhalisia mwanaume ndiye anayeenjoy sana kuliko mwanamke na ndiyo maana miaka ya nyuma walikuwa wakisema mwanamke ni chombo cha starehe mfano guitar unapolipiga huwa una enjoy kusikia mlio wake lkn guitar lenyewe yawezekana linaumia ila linashindwa kujiexpress ndivyo ilivyo kwa mwanamke...
  10. Makuchei

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuoe wanawake wa kawaida inapunguza presha sana

    Umenifanya nicheke hadharan
  11. Makuchei

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuoe wanawake wa kawaida inapunguza presha sana

    Ameni.... .hawa tulikuwa nao chuoni sura mbayaaaaaa lkn huwawez kitabia wenyewe wanasema kwa kuwa wanajijua wanasura mbaya ndo mana wakimpata mwanaume wanajiachia 100% ili ata akimwacha amkumbuke
  12. Makuchei

    JamiiForums Tanzania Anakoelekea Joyce Kiria na shosti yake Mange Kimambi siko sasa

    Tafsir yako ndiyo iliyokuponza binafsi sijaona kosa
  13. Makuchei

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba/mme

    Jaman mtu anapoleta maombi yake sio muanze kumshambulia na alichokiandika ila anahitaji msaada...France Felix umenifuahisha sana cc nokia83
  14. Makuchei

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Women who have more male friends

    Absolutely yes
  15. Makuchei

    JamiiForums Tanzania Walimu wenye diploma wanabaguliwa na wale wenye degree

    Mph ngoja wanaojua watupe evidence maana sina uzoefu nako
Back
Top Bottom