Natafuta mchumba/mme

Natafuta mchumba/mme

riziki mtoko! baraka yako ipo palepale utashinda you're a champs una shughuli gani? unaishije mpk mda huu ili sisi waoaji tujue wapi pa kuanzia bibie n.b/@muhimu
 
Habari zenu wote, nina miaka 33 nina watoto wawili wakike, nina elimu ya diploma nategemea kujiunga na degree, nitafuta mchumba ambeye baadaye atakuwa mume, kama nitapata aliyeokoka nitashukuru, asante nawatakia siku njema

Mliyezaa naye anasemaje?
 
Habari zenu wote, nina miaka 33 nina watoto wawili wakike, nina elimu ya diploma nategemea kujiunga na degree, nitafuta mchumba ambeye baadaye atakuwa mume, kama nitapata aliyeokoka nitashukuru, asante nawatakia siku njema

Weka picha hapa tuone kama unauzika! Afu jibu members kuhusu baba wa hao watoto. Ukikamilisha vigezo mi nachukua udalali. Siku mbili tu, mchumba tayari afu mnanipa changu nasepa!
 
Jaman mtu anapoleta maombi yake sio muanze kumshambulia na alichokiandika ila anahitaji msaada...France Felix umenifuahisha sana cc nokia83
 
makuchei kumbe naww hili umeliona? humu Jf kuna watu wenye akili robo wanakandia topic za wengine kama umeona topic haikuhusu kwann uandike makandio ya kipuuz mtu akiamua kufanya Yake ww haikuhusu kupinda Wa kukandia wanaboa sana wasomi nchwala wenye tabia kama hizo
 
Habari zenu wote, nina miaka 33 nina watoto wawili wakike, nina elimu ya diploma nategemea kujiunga na degree, nitafuta mchumba ambeye baadaye atakuwa mume, kama nitapata aliyeokoka nitashukuru, asante nawatakia siku njema

Umeshapata?
 
Mi nipo tayari ila watoto wale excluded kwenye mkataba wetu,kama ok ni PM
 
Habari zenu wote, nina miaka 33 nina watoto wawili wakike, nina elimu ya diploma nategemea kujiunga na degree, nitafuta mchumba ambeye baadaye atakuwa mume, kama nitapata aliyeokoka nitashukuru, asante nawatakia siku njema

hao watoto kila mmoja ana baba yake au baba yao ni mmoja? manake tukifunga ndoa nijue wanaokula pension ni mmoja au wawili.

mh.jpg
 
mtafute uliezaa nae mfunge ndoa ila kama unawataka wa JF wait wanakuja

mkuu kama una dada zako kwenu au hata ndugu zako wa kike hutakiwi kusema maneno ya kipuuzi namna hiyo inamaana yeye hakumuona mpaka akaja huku?au wewe wote uliowahi kutembea nao umewaoa?kesho dada zako nao watazalishwa wataachwa na watakuja hukuhuku na utawakandia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom