mnyama hana akili ila mwanadamu ana akili ila kutokana na shetani anaweza akafanya mambo zaidi ya mnyama, mfano mnyama kwa kuwa ni hayawani anaweza kumuingilia kimwili mama ake ila hawezi kufanya mapenzi na mnyama jinsia yake. Kwaiyo binadam akifanya hivyo akuwa ---- kuliko hata mbwa au hata...
Najua ananipenda na kusema ule ukweli nampenda ila naogopa kuwa nae kwasababu kaolewa na ameshazaa na mume wake mtoto mmoja.
Lakini kafikia hatua ya kuniambia ananipenda ila naogopa kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mke wa mtu ila nafsi yangu imetamani niwe nae napata kizunguzungu cha...
Hayo ni maisha ya ndoa hivyo uyo ana wazazi na mume wake ana wazazi awaite wazazi wa pande zote wakae waliongelee hilo nafkiri itakuwa njia sahihi ya kunusuru ndoa yao si kwa marafiki kama wewe
Kiukweli kuna msichana ananipa wakati mgumu kwasababu ananiumiza lakini nikisema nimuache moyo wangu unashindwa na huwa napata wakati mgumu pale nimuonapo ushauri wenu wadau naona nikiendelea nae atanitesa sana
Jamani mimi siilewi kuhusu mchezo wa mieleka kwani naona kama wanaigiza kwasababu mtu unakuta anapigwa mpaka na viti alafu anashinda naona kama Jet Lee akiwa anapaa na kumpiga jambazi
Hakuna kitu kinachoumiza katka maisha kama usaliti katika mapenzi.ndio usimwamini anaesema anakupenda na ukamkabidhi moyo wako wote unaweza ukanywa sumu.siamini kama rafiki yangu anakosa raha sababu ya demu wake alivyomtenda kwa kufanya mapenzi na mdogo wake inaniuma coz nayajua maumivu ya mapenzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.