Ananipenda ila naogopa kuwa nae

Ananipenda ila naogopa kuwa nae

MAKRESH MMAKA

Senior Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
155
Reaction score
19
Najua ananipenda na kusema ule ukweli nampenda ila naogopa kuwa nae kwasababu kaolewa na ameshazaa na mume wake mtoto mmoja.

Lakini kafikia hatua ya kuniambia ananipenda ila naogopa kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mke wa mtu ila nafsi yangu imetamani niwe nae napata kizunguzungu cha maamuzi.

Ushauri tafadhali
 
Uuuuuuugghhh mke wa mtu sumu mkuu..?lakini kama unadhani utaweza kuhimili mikikimikiki ya Kufumaniwa basii poa amsha popo tuu
 
Huna haja ya kuwa kizungu zungu cha maamuzi chagua moja tu kuwa nae au kuachana nae nakushauri uachane nae tu.
 
Mkuu mbona una seem kama hujui nini unataka? ebu jiulize ivi ingekua wewe kweli uje umfumanie mwanamme anatembea na mkeo utachukua maamuzi gani? ukipata jibu lake ndio litakua hilo hilo....
 
Na bora umepata hicho kizunguzungu kwa sababu hicho unachotaka kufanya ni hatari sana ila ukiamua kufata hiyo nafsi yako inayotamani tamani siku yakikukuta uje utupe mrejesho kama bado utakuwa hai.
 
sasa ushasema mke wa mtu! unaomba ushauri gani? ni wa mtu sio wako find urs somewhere else! mbona wanawake wengi sana? au una hamu ya kuolewa na wewe?
 
Najua ananipenda na kusema ule ukweli nampenda ila naogopa kuwa nae kwasababu kaolewa na ameshazaa na mume wake mtoto mmoja.

Lakini kafikia hatua ya kuniambia ananipenda ila naogopa kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mke wa mtu ila nafsi yangu imetamani niwe nae napata kizunguzungu cha maamuzi.

Ushauri tafadhali

Kama uko tayari kutumika shwari man endelea.
Ila nunua kabisa kilainisho and get ready to be used effectively and efficiently.
 
Na bora umepata hicho kizunguzungu kwa sababu hicho unachotaka kufanya ni hatari sana ila ukiamua kufata hiyo nafsi yako inayotamani tamani siku yakikukuta uje utupe mrejesho kama bado utakuwa hai.

tena awe honesty kutuambia chochote kitakachomkuta huko.
 
tena awe honesty kutuambia chochote kitakachomkuta huko.

Kama atapata hiyo second chance juzi kati hapa tuliona yule mwanaume aliyechinjwa kwa kutembea na mke wa mtu na baada ya kuchinjwa wakaona haitoshi wakachemsha kichwa na baadhi ya viungo,so ajifunze kupita hiyo mifano hai ambayo ipo mingi sana katika jamii yetu.
 
Ww km vp kula mzigo wakt huo na ww jizoeshe hata kujiingiza ingiza vidole nyuma siku ambayo utakutiwa wakiingiza nawe uone kawaida.
 
[SIZE=3Lakini kafikia hatua ya kuniambia ananipenda ila naogopa kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mke wa mtu ila nafsi yangu imetamani niwe nae napata kizunguzungu cha maamuzi. [/SIZE]
Kumbe wewe na nafsi yako ni tofauti? Si uungwana kwa muungwana kutembea na wake za watu. Sitaki kutumia imani za kidini hasa zile za kimapokeo kujenga Hoja. Kikubwa mila zetu zilikemea sana masuala haya.
 
Back
Top Bottom