Wakuu hivi mieleka ni michezo ya kweli

Wakuu hivi mieleka ni michezo ya kweli

MAKRESH MMAKA

Senior Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
155
Reaction score
19
Jamani mimi siilewi kuhusu mchezo wa mieleka kwani naona kama wanaigiza kwasababu mtu unakuta anapigwa mpaka na viti alafu anashinda naona kama Jet Lee akiwa anapaa na kumpiga jambazi
 
sio wa ukweli John Cena hapigiki mpaka achezewe rafu
 
Hapo ulipo jicheki uko dunia ya ngapi..WWE ni kweli wamepata mafunzo ya hali ya juu...hauonagi hata matangazo(DON'T TRY THIS AT HOME)..Inawachukua mda mrefu kufanya mazoezi..Bac ww cio mfatiliaji mzur wa hii kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom