Wanawake wa sasa hawajui umuhimu wa mume

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
2,334
2,000
Kwakweli ni shiiiidah wanawake wa leo hawajui umuhimu wa mume tatizo nini yaani kujali, kupenda, uaminifu unakuwa ziro hivi sababu za msingi ni zipi?

Unakuta mwanamke hana kazi kwa maana ni mama wa nyumbani but mume ana kazi nzuri na pesa na ana uwezo wa kung'oa demu yeyote wakati wowote, lakini ukimwona huyo mkewe alivyo na dharau utadhani anamiliki mlima Kilimanjaro kule kwa MISS CHAGA. Nini kinawafanya wanawake wa leo kuwa hivyo? Ila sweet na Salome hawahusiki.

NJOONI TUAMBIANE
 

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
2,334
2,000
Kwakweli ni shiiiidah wanawake wa leo hawajui umuhimu wa mume tatizo nini yaani kujali kupenda uaminifu unakuwa ziro hivi sababu za msingi ni zipi unakuta mwanamke hana kazi kwa maana ni mama wa nyumani but mume ana kazi nzuri na pesa na ana uwezo wa kungoa demu yeyote wakati wowote lakini ukimwona huyo mkewe alivyo na dharau utadhani ana miliki mlima kilimanjaro kule kwa MISS CHAGA nini kinawafanya wanawake wa leo kuwa hivyo ila sweet na salome hawahusiki.NJOONI TUAMBIANE
 

SI unit

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,953
2,000
ngoja na mimi nimmention miss chagga..manake umaarufu wake hapa jamvini unakaribiana na
ule wa le mu**z
 
Last edited by a moderator:

suregirl

JF-Expert Member
Jun 8, 2012
6,077
1,225
Mmezidi sasa heeenh hiv wewe apo umekamilika???? Yawezekana.ww ndo.chachu ya mwanamke wako kuwa na matatizo.hebu jiangalie kwanza wewe
 

Gololi One

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
577
500
Jamani jaani kwanini mnatusema hivi. Hivi kwani nyie haoni yenu au ndio ulemsemo wa Nyani haoni........ yaani hatuishi midomoni mwenu. kama umechoka siukae usioe.
 

gwijimimi

JF-Expert Member
Sep 24, 2011
7,276
2,000
Mmezidi sasa heeenh hiv wewe apo umekamilika???? Yawezekana.ww ndo.chachu ya mwanamke wako kuwa na matatizo.hebu jiangalie kwanza wewe
Sioni tatizo hata zikiwekwa thread mia kuhusu wanawake au wanaume
Kama hatuna majibu sahihi nadhan tungekaa kimya hzo hasira za kitoto sidhan kama zinasaidia chochote wakat wote tunajua this shit is happening
Kama hufanyi z gud changia.kwa unachojua
 

suregirl

JF-Expert Member
Jun 8, 2012
6,077
1,225
Sioni tatizo hata zikiwekwa thread mia kuhusu wanawake au wanaume
Kama hatuna majibu sahihi nadhan tungekaa kimya hzo hasira za kitoto sidhan kama zinasaidia chochote wakat wote tunajua this shit is happening
Kama hufanyi z gud changia.kwa unachojua
Usipanic ndugu mana sijaongea kwa jazba ww ndo una hasira za kipuuzi wangapi wameongea the same point kama yangu hukuziona umeona hii tu una hili au jingine
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom