Unakutana na hii "ninunulie iphone 6 plus baby si umeshasikia zishaingia bongo..."Niambie bby
wawili katika mia moja ndo watasema other issues apart from mizingaHahahahha sio mtu akikuambia ivyo ataka kukupiga miziga mjomba Honey You know What?
What is it baby!
I Love you hahaha sio kila ukiambiwa ivyo kua ni kuombwa pesa heni
Mapenzi gharama
Jamani hiyo kauli nimetokea kuichukia na kuiogopa kwani mara
nyingi (zaidi ya 99%) nikiambiwa na mpenzi wangu na pia hata
kwa wanaume wengine wenye wapenzi wao ni kupigwa mzinga.
Sasa hivi nikiona sms ya neno hilo huwa napotezea kwa kutoijibu
kabisaaaa as if sijaisoma kutokana na kutingwa na kazi nyingi.
Tafadhali naombeni wazoefu waniambie njia nyingine ya kukabiliana
ukiulizwa swali hilo na wapenzi wetu hasa wa jinsia ya Ke
acha uchoyo mwanaume pesa loh... baby nikwambie kitu malizia nakutumia laki moja ya saluni
Hiyo kauli siipendi, yaani akiniambia hivyo namuacha, yaani ipo kifekifeki.
acha uchoyo mwanaume pesa loh... baby nikwambie kitu malizia nakutumia laki moja ya saluni
Jamani hiyo kauli nimetokea kuichukia na kuiogopa kwani mara
nyingi (zaidi ya 99%) nikiambiwa na mpenzi wangu na pia hata
kwa wanaume wengine wenye wapenzi wao ni kupigwa mzinga.
Sasa hivi nikiona sms ya neno hilo huwa napotezea kwa kutoijibu
kabisaaaa as if sijaisoma kutokana na kutingwa na kazi nyingi.
Tafadhali naombeni wazoefu waniambie njia nyingine ya kukabiliana
ukiulizwa swali hilo na wapenzi wetu hasa wa jinsia ya Ke
Naiogopa iyo kauli kama boko haram....uwa siijibu hata kwa viboko
acha uchoyo mwanaume pesa loh... baby nikwambie kitu malizia nakutumia laki moja ya saluni
Muwe mnawapa pesa za matumiz bila kuombwa hiyo kauli itabadilikaaa itakua ni "baby nikuambie kitu!!! Niambie "nna hamu na wewee
K mnazitaka matumiz madogo heeee
hahaaaaaaaa
Kwanza sipendwi kuitwa baby...then mm niko honest sana na moyo wangu....kama nakuhonga usipende nambia unanipenda wakati vizinga kila siku.
Gharama kwa upande mmoja tu???
ebu acha mkono wa birika wewe... loh. utaishia kuita shemeji kwa uchoyo wako. sasa wengine ndo tushazoea kuita baby