Recent content by Makosa

  1. Makosa

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kidogo wa kifedha, naumwa T.B na mke wangu ni mjamzito

    Suriya atakuwa ni Daktari wa mifugo.
  2. Makosa

    JamiiForums Tanzania Camouflagers na informers

    Hapana sio kweli Kwanza mganga ni mtabibu wa tiba za asili, hivyo anaweza kuwa ni mchawi au sio.
  3. Makosa

    JamiiForums Tanzania Camouflagers na informers

    Mshana Jr mmojawapo huyu hapa.
  4. Makosa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza kupata mwenza sahihi mitandaoni?

    Sijawahi kutongoza demu mtandaoni na siamini katika kupata mpenzi mtandaoni.
  5. Makosa

    JamiiForums Tanzania Uchu wa Urais umewatoa macho na staha Tundu Lissu na Zitto Kabwe

    Hivi kwanini tusiamini anayepiga watu risasi ndio ana uchu wa Urais?
  6. Makosa

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa Mimi Angel kurudi nyumbani

    Hawa ndio wale wa ile hela tuma kwenye Namba hii.
  7. Makosa

    JamiiForums Tanzania Wezi watumia bomba la kinyesi kuiba fedha benki

    Halafu kuna bank moja hapa town nayo imepitiwa na bomba la majitaka huwa naiangalia sana ile bank.
  8. Makosa

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kidogo wa kifedha, naumwa T.B na mke wangu ni mjamzito

    Jamani kama umeguswa we mchangia tu, masuala ya kutoa elimu inaambukizwaje hayo kila mtu anajua.
  9. Makosa

    JamiiForums Tanzania Wa Lissu na Magufuli ni upepo unaovuma kwa kasi na utapita tu, kuna atakayeshindwa vibaya battle hii

    Tundu Lisu hana Expire date labda kama umeanza kumfuatilia Leo.
  10. Makosa

    JamiiForums Tanzania Mwanangu ana dalili ambazo wengi wanasema atakuwa na meno ya Plastiki

    Acha maneno ya kuambiwa ambiwa ndio maanà zipo hospital.
  11. Makosa

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi, Tundu Lissu anawatumia ujumbe; msimpuuze

    Ningekuwa Mimi ndio mtoa vitunguu swaumu ningejipa likizo ya wiki nzima ili nisahaulike. Hii aibu ulichoandika, hakuna hata aliyekuunga mkono
  12. Makosa

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi, Tundu Lissu anawatumia ujumbe; msimpuuze

    Na wewe nawe!!! sijui ndio umeandika nini!
  13. Makosa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Je, ni kweli kuwa siku hizi ukifanya miamala mikubwa benki unafuatiliwa hata akaunti kushikiliwa?

    Hiyo system ya kufuatiliwa sana imeanza sasahivi japo zamani ilikuwepo ila sio sana. Sahizi watakaokuwa wanaweka Pesa ni wale wa mishahara na vilaki laki ndio watabaki kutumia bank ila wafanyabiashara wa mamilioni itakuwa ni "hand to hand'
  14. Makosa

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi, Tundu Lissu anawatumia ujumbe; msimpuuze

    Page ya tatu hii hata wenzio Lumumba sijawaona hapa, wamekataa hoja yako haiingii akilini. Walikuwa wanasema humu ndani wewe kilaza Leo nimeamini.
Back
Top Bottom