Wezi watumia bomba la kinyesi kuiba fedha benki

Ukiachana na hao wezi kupita kwenye bomba la maji machafu kumbe wenzetu mabomba ya maji machafu na kinyesi yanapita mpaka nadani ya nyumba moja na nyingine inamaana kama nikibongo bongo unajenga mjengobwako juu chini lina pita bomba haina haja ya kuchimba semptiki nikukonnect tu nabomba ngoma inogire

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubishi wa nini? Mtu aliyetoa mada alikuwa anakariri tu source yake. Na ukweli ni kwamba 1 in = 2.54 cm. Kwa hiyo 16 in = 40.64 cm.
La msingi ni mtu anaweza pita au hawezi, ila kwa kipenyo hiko mtu mwembamba anaweza pita kwa kutambaa kwa mikono, tumbo na msaada wa vidole vya miguu.
 
Hii chai mkuu,''mabomba yenye upana wa sentimenta 40??!''

Unazijua cm 40 kweli? unajua kwamba ile rula unayotumia shule ya msingi ina cm 30?

Hakuna mtu yeyote duniani anaeweza kupenya kwenye huo upana wa cm 40...labda uniambie kwamba umekosea, na sio cm
Na ndiyo maana wametumia mbinu hiyo ili watu aina yako msishtukie kitu hadi wamalize yao.Never say never kwenye matumizi ya akili ya binadamu.
 
Halafu kuna bank moja hapa town nayo imepitiwa na bomba la majitaka huwa naiangalia sana ile bank.
 
Ukiachana na hao wezi kupita kwenye bomba la maji machafu kumbe wenzetu mabomba ya maji machafu na kinyesi yanapita mpaka nadani ya nyumba moja na nyingine inamaana kama nikibongo bongo unajenga mjengobwako juu chini lina pita bomba haina haja ya kuchimba semptiki nikukonnect tu nabomba ngoma inogire

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu ni kweli hujui kwamba bongo ipo hii?
 
Back
Top Bottom