Huyu mzee ni mpuuzi anafikiri watu wote ni wapuuzi na wana njaa kama yeye anafikiri tumesahau alivyoenda kuomba pesa kwa rostam Aziz, inawezekana aliomba pesa kwa kina Mtei baada ya kunyimwa ndiyo anaaza kashfa mzee mnafiki sana huyu tena mchumia tumbo.
Mimi sikubaliani na suala la matusi, lakini swali langu hivi ni kweli hawa viongozi wa ccm ni watakatifu sana kiasi kwamba kuanzia raisi, pinda mpaka mchemba hawajawahi kuwa na sababu ya kuhojiwa polisi isipokuwa chadema, kwa kauli zao na matendo yao yanayosababisha uvunjifu wa amani?
Huyu jamaa ni punguwani namba moja mbona anayoyafanya hayaendani na kauri yake, kama ana uhakika huo kwanini hatuli kila siku kwenye majukwaaa si atulie tu yanini kuangaika
Mnaona njia nzuri ni kuyumbisha waandamanaji wetu, kwa ghiriba hiyo mme fail kwa kuwa nia yenu ni kuwadanganya watu kuwa mnawea kumzuia raisi asije ili watu waamini hizi kauli zetu ili maandamano yafe.
Kwa taarifa yako hata iweje aje kikwete asije lazima tuandamane kwa mabango kama...
Huyu mzee ni mpumbavu kabisa kwani anafikiri kuwa yeye ndiye aliyeisaiia chadema na kuwa hata akisimama kwa chama chochote anaweza kuibuka na ushindi kitu ambacho si kweli watu hawakuchagua shibuda, bali walichagua dr slaa na chadema hivyo wakaona wasipoteze kura zao kwa ccm kwanza pamoja na...
Aende kanisani kutubu kwamba aliwaibia wavuja jasho TZ, azirudishe kwa wananchi hata kama indirect kwa kujenga visima nchi nzima kama sabodo, then aje mbele na kutoa huo ushuzi wake.
Wana jamvi mimi naona huyu mama Makinda anataka umaarufu wa uzeeni kupitia Godbless Lema, akidhani ndivyo vitu vilivyompa umaarufu mtangulizi wake Mheshimiwa Sitta. Sitta alifanya mambo ya msingi yanayogusa maslahi ya Taifa na wananchi kwa ujumla, mfano hoja za BOT na Richmond ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.