BAVICHA kuitisha maandamano ya kitaifa kumg'oa Dr. Slaa!

Status
Not open for further replies.
Wewe unapambana na nini? Mbona nimesoma post zako zote hauna mbele wala nyuma?jaribu kujenga hoja wacha unyang'au!

Umeona eeh,huyu jamaa ni mnafiki ajabu,anadai ni mwanachama wa CDM lakini anapenda kuona cdm inasambaratika!Njaa ni mbaya sana,sijui ataishije mjini kwani zzk ameshaanza kuwakana lakini yeye bado tu anajipendekeza!
 
Adam malima kwa kuwa na SMG na yule mke wa watu kule Morogoro atapata mboko ngapi au NDIO mpango wa CCM

kukumbatia wahalifu?

idadi ile ile atakayopata Dr.slaa..Lakini BABU VIBOKO VITAONGEZEKA ANATAKIWA APIGWE MBELE YA MKE WAKE HALALI WA NDOA BI.ROSE KAMILI NA VINGINE MBELE YA MCHUMBA WAKE KIJANA JOSEPHINE MSHUMBUSI
UNAFIKI,UONGO NA UNDUMILA KUWILI NI UBAKAJI WA DEMOKRASIA NDANI YA NCHI,KOSA LAKE HILI KWA SHERIA ZA KIMATAIFA IDARA YA UTETEZI WA HAKI ZA VYAMA VYA SIASA NI KUNYONGWA
 
Siku zote penye ukweli uongo hujitenga.tusubiri tuone nani mkweli.LAKINI KUMBUKA CCM WANATAFUTA MBINU YEYOTE YA KUBAKIA MADARAKANI.
 
Rubbish...Aluta kontinua..mabadiliko hayaepukiki!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
wafu watazikana wao kwa wao ndio maana babu anatakiwa aende kwa wanafiki wenzake akaina kinana n.k

Je kuhusu chenge ccm inampango gani kumtimua maana alikiri kuwa na vijisenti, Kwanini kuendelea kuichagua ccm 2015?

Chama cha kukumbatia mafisadi!
 
Na kuhakikishia TUNTEMEKE kuwa hata ufanye nini Dr hawezi kutimuliwa au kujiuzulu kwa huu upuuzi wako unao ushadadia, hata mkiandamana nchi nzima na matamko mtatoa sana!

Me nawewe tuombe uhai lakini na kuhakikishia kuwa huu ni upuuzi+ujinga utapita labda ubaki kwenye kichwa chako wewe ambacho hakina vya kuhifadhi zaidi ya list za ufitini!

Dr slaa atabaki palepale na kuhakikishia! Tupo!

mbona unajikanyagakanyaga kijana,Unadhani kufukuza wanachama ni kufukuza nzi?
BABU NDIYE ATAKUWA WAKWANZA KUTIMULIWA KU SASA KWASABABU HANATENA KAULI YA KUMSEMA MWANACHAMA YEYOTE YULE ILI HALI YEYE NI NDUMILAKUWILI.
PIA TEGEMEA BAVICHA MIKOA YOTE KUTOA MATAMKO SIJUI UTAFUKUZA WANGAPI
TEGEMEA WAJUMBE ASILIMIA 50 WA MKUTANO MKUU WA CHAMA WATATOA TAMKO
SIJUI UTAFUKUZA WANGAPI KWA KUTETEA HUYU BABU MNAFIKI WA KISIASA
 
Last edited by a moderator:
umeona eeh,huyu jamaa ni mnafiki ajabu,anadai ni mwanachama wa cdm lakini anapenda kuona cdm inasambaratika!njaa ni mbaya sana,sijui ataishije mjini kwani zzk ameshaanza kuwakana lakini yeye bado tu anajipendekeza!
mbona huwa mnakuwa kubomoa viongozi wengine wa chama chadema hiii hiii ..tena makosa yao ya kutungwa.
lakini babu amekili kwamba anakadi ya ccm,sasa kwa nini tmbembeleze mtu kama huyu.chadema gani inafuga maharamia wa kisiasa?
Yaani babu kwenye hili hatoki lazima apewe makavu,amezoea kuwa msaliti huyu mzee
 
idadi ile ile atakayopata Dr.slaa..Lakini BABU VIBOKO VITAONGEZEKA ANATAKIWA APIGWE MBELE YA MKE WAKE HALALI WA NDOA BI.ROSE KAMILI NA VINGINE MBELE YA MCHUMBA WAKE KIJANA JOSEPHINE MSHUMBUSI
UNAFIKI,UONGO NA UNDUMILA KUWILI NI UBAKAJI WA DEMOKRASIA NDANI YA NCHI,KOSA LAKE HILI KWA SHERIA ZA KIMATAIFA IDARA YA UTETEZI WA HAKI ZA VYAMA VYA SIASA NI KUNYONGWA

Je unasemaje Kuhusu kikwete alipoulizwa kwanini Tanzania masikini wakati inakila kitu naye akajibu hata yeye hajui kwanini, hii ni sahihi au kashifa nyingine?
 
mbona huwa mnakuwa kubomoa viongozi wengine wa chama chadema hiii hiii ..tena makosa yao ya kutungwa.
lakini babu amekili kwamba anakadi ya ccm,sasa kwa nini tmbembeleze mtu kama huyu.chadema gani inafuga maharamia wa kisiasa?
Yaani babu kwenye hili hatoki lazima apewe makavu,amezoea kuwa msaliti huyu mzee

kama alivo kubali chenge kuchukuwa vijiseti vya Rada, CCM imechukuwa hatua gani au ndo inasubiri kutolewa

madarkani 2015, wakati DR Slaa atakapochukua nchi?
 
na kuhakikishia tuntemeke kuwa hata ufanye nini dr hawezi kutimuliwa au kujiuzulu kwa huu upuuzi wako unao ushadadia, hata mkiandamana nchi nzima na matamko mtatoa sana!

Me nawewe tuombe uhai lakini na kuhakikishia kuwa huu ni upuuzi+ujinga utapita labda ubaki kwenye kichwa chako wewe ambacho hakina vya kuhifadhi zaidi ya list za ufitini!

Dr slaa atabaki palepale na kuhakikishia! Tupo!

kama unajiaminisha hivyo,maana yake naweka tick kichwani mwangu kwamba wwe ni moja waasi wa kidemokrasia ndani ya nchi wanaoshirikiana na dr.slaa
lakini kama dr.slaa ni binadamu kama mm,nakuhakikishia tang'oka huyu mzee,amekimbia kanisani sembuse kwenye chama cha kisiasa?
Amekimbia ndoa yake halali yenye matunda ya watoto na kwenda uhamiaji sembuse chama cha kisiasa.
P
 
Unasingizia wenzio wametumwa wakati ni wewe ambaye umepiga kambi kwenye hii thread na kila page unachangia kati ya mara mbili na tatu!!!

PANDIKIZI MKUBWA WEWE!!!!

Hahaaaaaaaa umeshikwa pabaya kama babu alivyoshikwa pabaya.
Tuntemeke pambana nao hawa wanaojaribu kutakatisha kaniki rangi inajulikana
 
Hii single ya dr slaa anamiliki kadi ya ccm ni kazi ya Nape jr.ili wanachadema wamwone dr slaa ni mamluki wa ccm. Na kweli, Nape kafanikiwa! Bavicha mwanza wameanza kuja juu kumtaka slaa 'aachie ngazi' Nashindwa kuelewa inakuwaje mtu mwenye akili timamu aamini kwamba eti dr slaa ni pandikizi la ccm miaka yote hiyo eti kwa sababu ana kadi ya ccm! Nawauliza bavicha: Ni matamshi gani ya slaa yasiyoendana na sera/ falsafa ya chadema? Yaani wanachadema mnashindwa kuona kuwa hii ni vita kali dhidi ya katibu mkuu wenu? Badala ya kuiondoa vita hii mnaiunga mkono? Mimi naona mamluki wa ccm ni baadhi ya wanachadema na sio slaa!

Mkuu Hygeia,njaa ni mbaya sana,hawa vijana sio kwamba hawajui kuwa umiliki wa kadi ya chama kingine hauondoi sifa ya mwanachama bali kuwa mwanachama wa chama kingine,hawa huyo Magafu ni graduate wa LLB,UDSM,anajua Dr hana makosa,lakini anajaribu kunukuu vifungu vya katiba ambavyo haviendani kabisa na upuuzi anaosema,Huyu na akina Tuntemeke & Co wote wana njaa kali mno hivyo yeyote atakayewaonusisha harufu ya msosi wao wako tayari hata kuuza utu wao,Nape kwa kutambua hilo anawatumia kama mpira wa kiume kwa gharama ya njaa zao,Pongezi kwa ZZK kwa kuwatosa ingawa hii itawafanya wazidishe kuudhalilisha utu wao kwa akina Nape!Hebu jiulize umeshawahi kusikia hawa vijana njaa wakizungumza uchafu wa magamba kama vile melii ya Kinana kukutwa na pembe za ndovu?wamekazana na kadi ya Dr Slaa!
 
Vijana wa maji mara moja km mchicha wapo simple kununuliwa,wasamehewe sio kosa lao kosa ni umaskini uliosababishwa na ccm
 
babu,pole sana mara kwa mara unaagiza vijana wako waje waangalie hali ipoje, unaona upepo huu si o kabisa,vijana wako wamecharuka wanatka kukung'oa pale ufipa.
Lakini ndio haki ya mtu mnafiki na ndumila kuwili kwnye vyama vya siasa.
 
Mimi nasubiri hayo maandamano ya Bavicha, tena kama huyo Magafu anaamini kwamba ana ushawishi kwa vijana anaowaongoza aanzishe maandamano huko Mwanza kabla ya kufikiria nchi nzima kwakuwa ukizungumzia nchi kuna mwenyekiti wa Taifa.

Narudia tena kama hao "vijana njaa" wanadhani wako sahihi na wana uungwaji mkono wa wenzao basi waitishe maandamno mkoani mwanza ama jijini mwanza ili kuthibitisha uungwaji mkono wa vijana wenzao.

Mkuu Mwita Maranya, Magafu na mpuuzi mwenzake Nape wamepanga kuwavalisha magwanda UVCCM wandamane nchi nzima kumpinga Dr Slaa, kitendo ambacho BAVICHA Mbeya hatutakubaliana nacho, wakithubutu tutawasambaratisha wa kuwapopoa kwa mawe.
 
hahaaaaaaaa umeshikwa pabaya kama babu alivyoshikwa pabaya.
Tuntemeke pambana nao hawa wanaojaribu kutakatisha kaniki rangi inajulikana

mimi ninao hawa kolikoli yaani ninavyoipenda jf hasa jukwaa la siasa akhaa sitoki
nitanyoka nao wamezoea hawa kuleta upuuuzi wao kwenye mambo serious ya kujenga chama.

dr.slaa yyeye ndio dreva wa hawa wanafiki na wababaishaji wa kisiasa..sasa yeye na mazalia yake yote tutayamaliza soon.hili hatoki.​
 
mbona unajikanyagakanyaga kijana,Unadhani kufukuza wanachama ni kufukuza nzi?
BABU NDIYE ATAKUWA WAKWANZA KUTIMULIWA KU SASA KWASABABU HANATENA KAULI YA KUMSEMA MWANACHAMA YEYOTE YULE ILI HALI YEYE NI NDUMILAKUWILI.
PIA TEGEMEA BAVICHA MIKOA YOTE KUTOA MATAMKO SIJUI UTAFUKUZA WANGAPI
TEGEMEA WAJUMBE ASILIMIA 50 WA MKUTANO MKUU WA CHAMA WATATOA TAMKO
SIJUI UTAFUKUZA WANGAPI KWA KUTETEA HUYU BABU MNAFIKI WA KISIASA

mchange mampamba shonza ni wasaliti wa wanaharakati vijana wa Tanzania..muende ccm kwa amani msituaribie chama chetu.
 
Kweli siasa ni mchezo mchafu,yaani dr kawa mbunge wa karatu kupitia cdm miaka 15 halafu leo awe pandikizi? Hakika chadema afadhali watimue hao vijana wenzetu,ili wakafie mbele ya safari. Eti kisa kadi,huu ni uzezeta uliopitiliza!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom