Expedito Mduda
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 545
- 268
Ni maoni mazuri tu!
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mppeni. Ni ukweli usiopingika kuwa bila ya Dr Slaa, chadema ingeingia kaburini rasmi 2010. Ni slaa ameiinua chadema juu zaidi. Ninashauri sasa Slaa apewe uenyekiti wa chama, Zitto Kabwe awe katibu mkuu na Mbowe abaki tu mlezi wa chama kama alivyo ndesapesa. Ni maoni yangu tu. Karibuni wadau mchangie maoni yenu. Mods please hii thread naomba msiiunganishe na zingine.
Huku kikiwekwa roho juu na harakati za CHADEMA kujiimarisha hadi vijijini,CCM imeapa 'kula sahani moja' na Dr. Slaa,Katibu Mkuu wa CHADEMA. Vikao mbalimbali vya kimkakati ndani ya CCM vimeapa kumweka 'busy' Dr. Slaa kwa hoja za majibizano ili kumpunguza kasi ya kiutendaji ndani ya chama. ' Utulivu na kuimarika kwa chama ni uongozi hasa Katibu Mkuu. Hoja ziwe ni kadi za CCM,Zitto na Urais na nyinginezo. Hizi zitatusaidia. Dr. Slaa lazima atatingwa nazo tu' alisema Mjumbe wa CC kwenye kikao ambacho hata Nape Nnauye alikuwepo jana.
ndo kazi ilishaanza sasa
Mtabaki kumtetea mtu hata
kama hana sifa za uongozi kama vile maadili, utendaji nk!
Hivi Chadema hakuna anaefaa kuwa Katibu Mkuu zaidi ya Slaa? mbona kuna
vijana hodari na wachapakazi wenye maadili kama Zito Kabwe?
Chadema kinahusishwa na udini na ukanda! Slaa ni Padre na mlei wa Kanisa
aliesaini mkataba wa KIFISADI wa MOU 1992
akiwakilisha Kanisa na Edwad Lowasa kama Waziri ktk Serikali ya awamu ya
Pili!
kama mnataka kufuta hisia za kidini Chadema hamna budi kumsimamisha
Mgombea urais mwingine mwenye sifa za uongozi!
Slaa ni msalaba wenu na mkiendelea kumlea na kumuenzi, basi mjue Chadema
itafia mikononi mwake!
Kuna Maswali sijayapatia majibu nayo ni:
- Kwa nini ccm hawamuandami Mbowe?
- Kwa nini ccm hawamuogopi wala kumsakama Zitto pamoja na kubeba hoja nzito nzito ikiwemo hii ya mihela yao ya Uswizi?
- Kwa nini pro-ccm wote wanamtaka Zitto ndiye awe mgombea wa Urais kupitia CDM?
- Kwa nini pro-ccm wanampinga Dr. Slaa na kutaka asiwe mgombea wa Urais kupitia CDM ilhali yeye hajatangaza wala kuonyesha nia hiyo?
Huku kikiwekwa roho juu na harakati za CHADEMA kujiimarisha hadi vijijini,CCM imeapa
'kula sahani moja' na Dr. Slaa,Katibu Mkuu wa CHADEMA. Vikao mbalimbali vya kimkakati ndani ya CCM vimeapa kumweka 'busy' Dr. Slaa kwa hoja za majibizano ili kumpunguza kasi ya kiutendaji ndani ya chama. ' Utulivu na kuimarika kwa chama ni uongozi hasa Katibu Mkuu. Hoja ziwe ni kadi za CCM,Zitto na Urais na nyinginezo. Hizi zitatusaidia. Dr. Slaa lazima atatingwa nazo tu' alisema Mjumbe wa CC kwenye kikao ambacho hata Nape Nnauye alikuwepo jana.
Kuna Maswali sijayapatia
majibu nayo ni:
[*]Kwa nini pro-ccm wote wanamtaka Zitto ndiye awe mgombea wa Urais
kupitia CDM?
[*]Kwa nini pro-ccm wanampinga Dr. Slaa na kutaka asiwe mgombea wa Urais
kupitia CDM ilhali yeye hajatangaza wala kuonyesha nia hiyo?
[/LIST]