Kikwete awaambia UVCCM 'msitutishe'; ahoji walikopata fedha

1.jpg
Hapo Mzee Kingunge anamwambia "Msalimie mwenyekiti wako mtarajiwa wa CCM, na usilete ungese ungese wako hapa"
 
Wasanii, si unaona hata majina wanaogopa kutaja? "Watuhumiwa" ni neno pana, watajeni wazi wazi km Dr Slaa alivyowataja Mwembeyanga. Sasa kama hata kuwataja majina ni ishu, kuwatoa sio ndio ngumu zaidi?
 
UVCCM ni spoilt brats.

Kuna wakati walinukuliwa wakisema eti watakuwa wakali dhidhi ya mafisadi ndani ya CCM, eti kwa sababu "hatutaki kuja kuwa chama cha upinzani tukishakuwa kiumri"... *?&%! msonyo
 
Waacheni wagombane wao kwa wao sisi(CDM) tunaendelea kuja kwa kasi ya ajabu kuelekea ukombozi wa taifa letu
 
Navutiwa sana na makala za jamaa anayejiita 'Msomaji Raia', katika gazeti la Raia Mwema. Jamaa huwa anaichambua sisiemu kwa udani sana. Tusitarajie lolote jipya toka ndani ya vikao vya sisiemu, zaidi ya umea wa hapa na pale. Hawawezi kabisa kuchukua maamuzi magumu, kwa sababu anayetakiwa kuchukua maamuzi magumu ana walakini, si msafi, yeye mwenyewe anastahili kuchukuliwa maamuzi magumu. Kuna haja kubwa na ulazima wa kubadili mwenyekiti wa sisiemu mwakani.
 
Rais anafanya makosa makubwa kuongoza kwa vitisho ni bora akasikiliza hoja zao ndipo atoe vitisho vyake kuliko kutaka kuwafunga mdomo!
 
Hao UVCCM wameyataka badala ya kusimamia misingi ya chama chao wanaweka maslahi mbele na kutumiwa na haohao wanasiasa ambao leo wanawadhihaki...hata hivyo bora uvunjwe naamini zaidi ya asilimia kubwa ya viongozi wa Uvccm hawajui chama chao kimejengwa katika misingi gani!
Mwenyekiti mwenyewe ndiye alijenga msingi huo katika umoja huu kati ya mwaka 1995 na 2005, na sasa anavuna alichopanda. Namsikitikia anaposema msitutishe, hivi kweli hatishiki? Kama hatishiki angeshapeleka mahakamani mafisadi wote. Vinginevyo anatudanganya kutishika kupo.
Hawatatoka ndani ya chama hao magamba wenzao hadi wahakikishe kinakufa ndipo watatoka
 
unaumri gani kwani ? Wajumbe wa cc aboud jumbe na seif sharrif hamad ambapo mmoja alikuwa rais wa zanzibar na mwingine aliwahi kuwa waziri kiongozi lakini kutimuliwa kwao kulitokea kwa nyakati tofauti
Wote tunamkubali nyerere. anzia kutathmini baada ya vyama vingi.
 
I have observed that in other democracies the youths constitute a formidable political bloc which every politician wants to court.

In Tanzania the youths are plagued with division, infighting, ignorance, fighting outdated battles, So please I appeal to the south, East, North, and even Center youths let's act like other youths in this age of globalization and not let our political class play us as if we are cards

Kama kuna vijana wazalendo wa kweli waliopo ndani ya UVCCM basi semeni ukweli simamieni haki kama inashindikana tokeni ndani ya chama hicho mjiunge na vyama vya upinzani lakini vile ambavyo vionaweza kuvumilia mawazo yenu na kuwasikiliza
 
Ndugu wakigombana ........................ ..........................wazee wa NGUVU YA UMMA MMENIPATA.
 
Malimu Seif Sharif Hamad

Seif Sharif Hamad hajawahi kuwa kiongozi wa juu wa CCM.Aliwahi kuwa kiongozi wa juu wa SMZ, afadhali ungesema labda Aboud Jumbe , yeye "alistaafishwa" kwa kuchafua hali ya hewa.
Si umesikia wameanza kufukuza dagaa na kuacha mapapa, wamemfukuza katibu wa CCM wa Mkoa Dar. na kuwaacha vingunge.
 
CCM tumeshindwa na siasa kilichobaki ni vitisho ambavyo havina maana yeyote ile; UVCCM ni mhimili mkubwa wa chama chetu haniingii akilini kwa mwenyekiti wetu kutishia kuivunja UVCCM; inaelweka wa wazi mwenyekiti yupo katika wakati mgumu kupitisha azimio la kujivua GAMBA kwani linamgusa kwa aina ama nyingine, hata ukiangalia safu ya meza kuu zaidi ya Dr. Shein na Mzee Msekwa sioni ni nani yupo msafi kimaadili, Mzee Mkapa, Mh. Karume na Mh. Mwenyekiti mwenyewe. Mwenyekiti anatumia nyundo yake kulilinda kundi la mafisadi kwa manufaa yake binafsi, tunachotaka kukumbusha mweneyekiti vijana ndio wapiga kura na ndio tunaoibeba CCM; vitisho na vijembe haitatuzuia vijana kekemea maovu ya mafisadi, UVCCM itaendelea na vita hivyo kulinda maslahi ya chama chetu; tunachotaka kumshauri mwenyekiti atafute njia mbadala ili kukinusuru chama chetu na aache kuwasikiliza watu wenye mawazo duni kama Wassira, mwenyekiti lazima akumbuke Wassira anachoangalia ni maslahi yake binafsi, alishawahi kutuhama labda kama amesahau aangalie historia ya Wassira.

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
.......ati nini! mwenyekiti anahoji UV-CCM imepata wapi fedha za kuwaweka Dom, teh teh teh, atoe kwanza boriti kwenye jicho lake, aanzie kwa Riz1.
 
.......ati nini! mwenyekiti anahoji UV-CCM imepata wapi fedha za kuwaweka Dom, teh teh teh, atoe kwanza boriti kwenye jicho lake, aanzie kwa Riz1.

Kweli Kiwete hana analolijua kuhusu uongozi si ndani ya Chama chake wala Taifa. Huyu jamaa anaonekana ni kihiyo wa kutupa.
Hivi yeye hajui hawa UVCCM wanapata wapi pesa kweeri? Tumuulize na yeye alipata wapi PESA ILIYOMWINGIZA KWENYE URA-HISI wa kutawala nchi hii kidikteta!

Mbona kashindwa kumkoromea rafiki yake Lowassa baada ya kumkomalia jana kuwa yeye(EL) siyo fisadi wa kuhusishwa na sekeseke la Richmond. Kwamba yeye EL alikuwa tayari KUUVUNJILIA MBALI MKATABA WA RICH-MONDULI lakini Kiwete ndiyo akamkwamisha kwa kumwambia sijui asubiri upuuzi gani sijui! Kumbe Kiwete ndiyo mhusika mkuu wa Richmond na Dowans.

Huyu kIWETE ndiyo alitakiwa awe mtu wa KUPIGA CHIIINI!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom