Recent content by MAKOLE

 1. MAKOLE

  Wataalamu wa lishe naomba ushauri

  Habari, Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu masuala ya Lishe. Nina tatizo kwa baadhi ya vyakula vinanisumbua mno hasa mboga za majani. Nikila naendesha mno. Msaada tafadhali
 2. MAKOLE

  Uchaguzi 2020 Pascal Mayalla atangaza nia kugombea Ubunge

  Nimetazama kipindi cha "jicho letu ndani ya habari" Star TV leo na kwa kweli imenisikitisha maana kila Jumamosi ni lazima nichelewe kutoka home nitazame mijadala iliyokomaa ya PM. nimeanza kukufuatilia tokea kipindi cha Kiti Moto ITV hadi sasa, Nimepoteza hamu ya kufatilia vyombo vingi vya...
 3. MAKOLE

  Tatizo la mwili kupasua kwa watu wazima

  Habari Madaktari/ wataalamu wa afya na kinga. Wazee wangu wana umri wa utu uzima sasa 65-70s na wote wana shida sana ya kuumwa na miguu. Mzazi wa kiume anashida pia ya magonjwa ya moyo na pia ni mtumiaji wa dawa kali za presha. naomba kujuzwa endapo naweza kupata dawa ama ushauri wa kuweza...
 4. MAKOLE

  Naomba kujuzwa napoweza kupata vitasa vya Sienta

  Habari, naomba kujua naweza kupata wapi vitasa vya milango ya abiria vya sienta, Natanguliza shukrani
 5. MAKOLE

  Safiri salama, safiri kwa usalama kati ya Arusha Dar via Korogwe

  Kwa kuwa ni mara ya kwanza kwa maeneo haya kutokea nadhani mamlaka husika zitachukua hatua kwa ajili ya kuepuka maafa baadae
 6. MAKOLE

  Safiri salama, safiri kwa usalama kati ya Arusha Dar via Korogwe

  Maji yanamwagika asee, ingawa bado hakuna hali mbaya sana ila ikiiga usiku wa leo kama ilivyogonga mchana kesho kutakuwa na hali ngumu
 7. MAKOLE

  Safiri salama, safiri kwa usalama kati ya Arusha Dar via Korogwe

  Nipongeze idara ya hali ya hewa kwa kazi kubwa wanayoifanya, Kwa hali ya hewa ilivyo kwa hapa Korogwe na kulingana na uzoefu wa hivi karibuni juu ya athari za mvua zinazoendelea kunyesha, ni vema wasafiri wanaotumia barabara kuu ya Arusha Dar kupitia Korogwe wakachukua tahadhari kutokana na...
 8. MAKOLE

  Isus Seashell Series mini Laptop ina shida kwenye Keybody

  Wataalam naomba msaada wenu, Ninayo Isus mini laptop inazingua sana kwenye keyboard. Mfano unaweza kubofya kifungo cha herufi U ikakurudisha kwenye start menu. Unaweza kubofya kifungo cha herufi X kikafungua browser. Hii shida inasababishwa na nini?
 9. MAKOLE

  Ushauri kwa wanaopanga safari/ wanaosafiri kati ya Arusha-Dar

  Kweli, nimeona miili mitatu ikiwa kwenye magari tofauti tofauti. Hatari mno
 10. MAKOLE

  Ushauri kwa wanaopanga safari/ wanaosafiri kati ya Arusha-Dar

  Kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha, kumekuwa na mkwamo wa safari haswa kuanzia Korogwe Mjini ambapo leo 26/10/2019 barabara hiyo imefungwa na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wanaosafirisha huduma, bidhaa na watu. Hii ni kutokana na kipande cha barabara ya Segera-Korogwe kuwa na maeneo...
 11. MAKOLE

  1ST YEAR MZUMBE UNIVERSIT- MBEYA CAMPUS

  Samahani naomba ama mwenye ndugu au anayesoma mwaka wa kwanza au miaka ya mbele anipatie mawasiliano yake nna shida nahitaji msaada. Mjomba wangu amepangiwa chuo kwa mwaka 2018/2019
 12. MAKOLE

  Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

  Jamani nami naomba link ya kushusha mzigo wa 24hrs ya Jack Bauer
 13. MAKOLE

  Nondo nondo

  Wakuu kama kuna mtu ana connection na kiwanda cha nondo au anajua namna ya kununua nondo kutoka kiwandani tuwasiliane
 14. MAKOLE

  Kwanini viongozi na CCM wanahofu na maombi na Alhul badir kama na wao wanamtafuta asiyejulikana? Au asiyejulikana ndie?

  Kwa uelewa wangu mdogo unapotaka kusoma kiapo hiki kitakatifu lakini hatari ni lazima uwataarifu watu wote ili anayehusika ajitokeze. Madhara ya ahl Badri yanasambaa kwa vihusika na wahusika. kama mhusika x amefanya tukio hilo maana yake yeye na ahl (ndugu zake) na hata ukoo huenda ukaangamia...
Top Bottom