Recent content by Makindi N

  1. Makindi N

    JamiiForums Tanzania Mbowe atangaza Baraza kivuli la Mawaziri, Mbatia ndani. Zitto, Kubenea nje

    Hivi waweza kuwa na jicho la UKANDA / UDINI etc bila ya ww kuwa MKANDA / MDINI etc???
  2. Makindi N

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mzee Emanuel Makaidi, Mwenyekiti mwenza wa UKAWA afariki dunia

    May his soul RIP?
  3. Makindi N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    Speechless. May Mtoi's soul RIP.
  4. Makindi N

    JamiiForums Tanzania Watu 10 Mashuhuri waliouawa kwa kupigwa Risasi

    Hakika ukimtoa namba 2 na 7 kwenye hiyo list, kwa Africa hawa wapiganaji wetu tunaopaswa kujivunia pia. Wanaweza wasiwe na umaarufu wa dunia ya sasa ya kibeberu, ila wapaswa na hakika ni hazina yetu. .. 1. Solomon Mahlangu 2. Patrice Lumumba 3. Kwame Nkrumah 4. Eduardo Mondlane 5. Felix...
  5. Makindi N

    JamiiForums Tanzania Nyalandu atangaza nia urais 2015

    Kikwete ni aibu sana kwa Taasisi ya Uraisi. Huyu nae kwanza kuwa na wazo (ndoto) tu ya U-Raisi ni kudhalilisha taasisi hii nyeti!
  6. Makindi N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujuzwa juu hili wandugu requirement ya kujiunga na chuo kikuu

    Hivyo vyuo ulivyoomba havikutoa entry qualifications? Au hukuzielewa? Au uliombaje bila kujua km una hizo minimum requirements?
  7. Makindi N

    JamiiForums Tanzania Kwa wanywaji pombe, kwanini Castle lager imebadilika ladha?

    Karibuni Front View, Msamvu, Moro
  8. Makindi N

    JamiiForums Tanzania Kwa wanywaji pombe, kwanini Castle lager imebadilika ladha?

    Ndie Founder Brewer wa Castle Lager (1895).
  9. Makindi N

    JamiiForums Tanzania Je, wajua? - Special Thread

    Je wajua km Msamvu Round About, Morogoro ndio round about kubwa Tanzania nzima?
  10. Makindi N

    JamiiForums Tanzania Nyerere aliishi Butiama miaka 77, leo Madiwani CCM wanaikana Butiama eti haijaendelea. LAANA, au?

    Mtoa mada hujui siasa za kinachoendelea ktk ni wapi pa kujenga makao makuu ya Wilaya. Kiabakari pameendelea with all the socio-economic infrastructures in place. Mkono kwa fedha zake has been manipulating the Gvt and sm poor Councilors ili makao ya wilaya yajengwe Butiama. Cost Benefit Analysis...
  11. Makindi N

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na tabia hizi, jiandae kuwa middle class na kuteseka ki uchumi!

    Hiyo nyumba ya 60mil sio collateral ya kukupa 100m na kufanya biashara kubwa zaidi ya 60m?
  12. Makindi N

    JamiiForums Tanzania Amenipa mwezi mmoja niwe nimeshamuoa vinginevyo ananiacha, sina mahari nifanyeje

    Wengi mnaongelea miaka minane (8) ni mingi. Huyo dada amevumilia sana. Kwani uvumiliu ni kwa akina dada tu? Hiyo miaka nane na zaidi ambayo wanajipanga HAWAVUMILII kwa pamoja? Otherwise, labda km the case presented is incomplete (of course it should be). Waendelee kuvumiliana hadi muda stahiki!
  13. Makindi N

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kisasi ya JK yaibua mapya; Baregu asema JK ageuke na kuomba radhi na hila dhidi ya SALIM

    Atamfanyiaje visasi Mkapa ilhali Ndie alie-engineer kuwafanyia visasi wagombea wenzie na JK akiwemo Dr. SAS ili yeye JK apite.
  14. Makindi N

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kisasi ya JK yaibua mapya; Baregu asema JK ageuke na kuomba radhi na hila dhidi ya SALIM

    Ndiyo political advisor wa JMK. So connect the dots!
  15. Makindi N

    JamiiForums Tanzania Urais 2015, kundi langu ni CCM

    Honesty is a very expensive GIFT. Do not expect it from cheap people - Mwita Maranya
Back
Top Bottom