Mbowe atangaza Baraza kivuli la Mawaziri, Mbatia ndani. Zitto, Kubenea nje

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,485
Kiongozi Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mh. Freeman Mbowe, ametangaza baraza lake kivuli la Mawaziri na kuwasihi wahusika kutoa Ushirikiano kwa Baraza hilo alilolitangaza bungeni baada ya Maswali na Majibu.

Waliotangazwa Katika Orodha hiyo ni Pamoja na;


Wizara ya Ofisi ya Rais, Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora.
Mawaziri – Jaffar Michael
Naibu Waziri – Joseph Nkundi na Ruth Mollel

Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira
Waziri – Ali Saleh Abdalla
Naibu Waziri – Pauline Gekul


Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Walemavu

Waziri – Esther Bulaya
Naibu – Yusuph Makame na Maftah Abdalla


Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi

Waziri – Magdalena Sakaaya Naibu
Waziri – Emmaculate Swari


Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.

Inj. James Mbatia
Naibu Waziri Willy Kombucha

Wizara ya Fedha na Mipango
Waziri – Halima Mdee
Naibu Waziri – David Silinde

Wizara ya Nishati na Madini
Waziri – John Mnyika
Naibu Waziri – John Heche

Wizara ya Katiba na Sheria Waziri
Tundu Lissu Naibu
Waziri Abdalla Mtolela

Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afika Mashariki, Kikanda na Kimataifa.
Waziri – Peter Msigwa
Naibu Waziri – Riziki Shaghal


Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

Waziri – Juma Omari
Naibu Waziri Mwita Waitara

Wizara ya Mambo ya Ndani
Waziri – Godbless Lema
Naibu Waziri Masoud Abdalla


Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

Waziri – Wilfred Lwakatare
Naibu Waziri – Salum Mgoso

Wizara ya Maliasili na Utalii
Waziri Esther Matiko
Naibu Waziri– Cecilia Pareso

Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.
Waziri Anthony Komu
Naibu Waziri Cecil Mwambe

Wizara ya Elimu, Sayansi Teknolojia na Ufundi
Waziri – Suzan Lyimo
Naibu Waziri Dkt. Ali Suleiman Yusuph


Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

Waziri – Dkt. Godwin Mollel
Naibu Waziri Zubeda Sakul


Wizara ya Habari, Utamadu, Wasanii na Michezo

Waziri – Joseph Mbilinyi
Naibu Waziri – Devotha Minja

Wizara ya Maji na Umwagiliaji
Waziri –Hamidu Hassan
Naibu Waziri– Peter Lijualikali
 
Hapo Elimu wangemweka Saed Kubenea ingekuwa poa sana.
Fedha Halima mmhh.. Nadhani Zitto ange-fit zaidi.. Halima wangempeleka kwenye sheria akasaidiane na Lissu..
Mbowe ndiye Waziri Mkuu kivuli, sio? (kidding)!

All in alll, baraza liko poa kiaina.. Wakafanye kazi sasa..
 
Nadhani impact ya Zitto ingekuwa kubwa sana kama angepewa wizara ya fedha huwa anaitendea haki mara nyingi
 
James Mbatia anakuwa mzuri sana kwenye Elimu, angempa wizara ya elimu, Zitto Kabwe Wizara ya Fedha. Hapo upinzani ungekuwa na hoja za nguvu. Mzee wa Shanga sawasawa alivyotoswa uwezo wake ndogo.
 
James Mbatia anakuwa mzuri sana kwenye Elimu, angempa wizara ya elimu, Zitto Kabwe Wizara ya Fedha. Hapo upinzani ungekuwa na hoja za nguvu. Mzee wa Shanga sawasawa alivyotoswa uwezo wake ndogo.

Zitto ni MTU wa system kama haujui,ubungo JIMBO,wamechagua hewa tupu
 
Chase a "kanone, post: 15256211, member: 176621"]Mbona asilimia 75 ni majina ya kasikazini?[/QUOTE]
Chadema na Ukaskazini ni kama mavi na nepi sio rahisi kuvitenganisha.
 
Back
Top Bottom