Kauli ya kisasi ya JK yaibua mapya; Baregu asema JK ageuke na kuomba radhi na hila dhidi ya SALIM

Muacheni mkulu atulie, kwani hamjui kuwa jina lake lilikuwa la kwanza kwenye list ya wageni waliopo Afrika kusini!Hakika, kwa hili historia haitakaa iwafiche wanafiki.

hili nalo lina tija kwa watanzania???au mwendelezo wa sifa za KIJINGA
 
mh! mbona JK unajikamata mwenyewe ! ama ndo kusema unajikinga ! aaahhhh! kweli ndu jikinge kabla hawajakufikria !
 
Nani anamkumbuka aliyekuwa mkuu wa mkoa wa mbeya kabla jk hajawapangua wakuu wa mikoa kwa mara ya kwanza? kisasi cha jk kilifanya kazi.

usimsahau mashashanga(kama sijakosea jina)alimalizia morogoro,maana alimuunga mkono SUMAYE
 
hivi huyu dr benson bana ana maslahi gani na ccm? Na kikwete? Maana naona kila mara anaacha kabisa kuainisha mambo kwa upeo wake wa ki-dokta na kutoa hoja zenye mashiko, amebaki kubusu-makalio (kissing @sses) tu!
jamaa huwa anaibisha sana ile idar ya ukombozi wa fikra nina bahati kubwa kutofundishwa naye!
 
wabongo bwana,, sasa kosa la JK pale ni lipi au ndio unatafsili unavyojua ili ujenge hoja???

yeye alikuwa akimsifia NM na kutuasa kutoishi kwa visasi na kushauli viongozi wenzie wasiwe na hii tabia.

kama yeye amewafanyia watu visasi hii sio concern yetu, ataadhibiwa na mungu wake,
 
Na waliomfanyia visasi zzk,, waje kwenye media waombe msamaa,,,,ili tuendelee kujenga chama bila visasi kama mandela alivyofanya anc
 
Hivi karibuni Rais Kikwete alisema kuna watu wanataka kuingia madarakani kwa kulipa kisasi, jambo ambalo ni hatari na kwamba aliyekuwa Rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Hayati Nelson Mandela hakufikiria kufanya hivyo alipoingia madarakani baada ya kuachiwa kutoka gerezani.

Kwanini JK anajihami? Kwani kuna ukaburu alioufanya au anaoufanya kiasi cha kuomba suluhu mapema?
 
Pamoja na yanayosemekana kufanywa kwa Dr Salim, JK anaanza kujisafishia njia kwa maovu alotufanyia watanzania. Kwa hiyo anaanza kuomba kiongozi ajaye asimuulize chochote kwa ufujaji mkubwa wa mali za umma unaofanywa na watu wa serikali yake. Mimi naona amejisema mapema na tena natamani kura zimwendee moyo wa mtu atakaye muadabisha yeye na serikali yake.
 
Hata ufanyenini jk watu wako tunakusubiri utoke madarakani hatutakuacha kwa mabaya ulotutendea wewe na familia yako hasa riz.huna ubavu wa kuwajaza ujinga wako ukidhani vichwa vyetu fuu la nazi kama lako.tubu maana sku zinahesabu.
 
Hivi huyu Dr Benson Bana ana maslahi gani na CCM? Na Kikwete? Maana naona kila mara anaacha kabisa kuainisha mambo kwa upeo wake wa ki-Dokta na kutoa hoja zenye mashiko, amebaki kubusu-makalio (kissing @sses) tu!

Ndiyo political advisor wa JMK. So connect the dots!
 
wewe na huyo beregu wako hamjui maana ya neno kisasi na neno kisa au mkasa.
kikwete ingawa alikoseshwa urais 1995 lakini hajamfanyia kisasi mkapa.
tuoni ufafanuzi wewe, beregu na wengineo ni kisasi kipi alicho kilipa kikwete baada ya kupata urais.

"kikwete ni raisi wa watu hata mnyika anajuwa"

Atamfanyiaje visasi Mkapa ilhali Ndie alie-engineer kuwafanyia visasi wagombea wenzie na JK akiwemo Dr. SAS ili yeye JK apite.
 
Baregu analeta siasa za kitoto nadhani naye ni mwanharakati kama slaa, mbowe, lisu and cdm saccos . Si angeanza na 1995 ambapo Kikwete alifanyiwa hiana na Mh. Mkapa kuula. Hachelewi kusema hiyo sikumbuki.
Wanaharakati wa cdm bwana hata kama nshomile, matatizo tu
 
wewe na huyo beregu wako hamjui maana ya neno kisasi na neno kisa au mkasa.
Kikwete ingawa alikoseshwa urais 1995 lakini hajamfanyia kisasi mkapa.
Tuoni ufafanuzi wewe, beregu na wengineo ni kisasi kipi alicho kilipa kikwete baada ya kupata urais.

"kikwete ni raisi wa watu hata mnyika anajuwa"

huo ni mtazamo wako na baba yako.... Na sio kwa wote
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom