Urais 2015, kundi langu ni CCM

Urais 2015, kundi langu ni CCM

Mtu ukitaka kujua unavyochukiwa kwenye Jamii leta mada yako hapa JF.

Kwi kwi Kwiiiiiii!!!!

I love JF.
 
tedo-kama tungeweza kutokeza mbele ya watu mimi na wewe halafu tuulize msukule ni nani whether by physical appearance or brain strength ingekuwa rahisi kupata muafaka lakin kwa njia hii ya mtandao ni rahis kudhan hivyo unavyodhani. Binafsi namshukuru M/mungu kuwa nachangia mijadala ya siasa zinazohusu UHAI na USTAWI wa jamii yetu bila ya kuwa nimefungwa kifikira(hapa namaanisha bila ya kufikiria manufaa binafsi kama vile ajira, fedha na mambo ambayo wengi ndio vinavyowasukuma na hii ni kwsbb nilijitambua mapema na kuandaa mfumo kwa ajili ya maisha yangu tangu awali hata kama sio mzuri kama ambavyo niniyi vijana mnavyotaka kila mtu awe mbunge).

nashukuru pia juu ya umri wangu kwani waswahili wanasema kuishi kwingi kuona mengi-mimi nimeingia CDM mwaka (2001) wewe na wenzako mkiwa hamuifaham na hivyo naijua ilivyokuwa na ilivyosasa( na hii ndio kazi ya Historia-to know the past helps in decision making and planning about the future) kwahiyo najiamini juu ya mengi nayoyafanya brother, TULIIJENGA CHADEMA KAMA KIMBILIO lakin hali iliyopo IMEGUBIKWA NA SINTOFAHAM(hakuna Demokrasia na Uwazi wa kweli -issue za UCHAGUZI/UBADHILIFU na MADARAKA(wabunge viti maalum na nafasi nyinginezo), fikira za viongozi ndani ya Chama vinatoa picha kuwa hakuna dhamira ile TULIYOILENGA na sasa watu wamebakia kubweteka na kutumbua maisha na kuibuka na majibu mepesi mepesi kwa watu wenye kutaka kujua, mara MNAFIKI, MSALITI etc
 
Last edited by a moderator:
Wana jf Salaam,

Nimelazimika kusema machache kutoa ufafanuzi kufuatia uzi wa Mwita Maranya na wengine wenye fikra hizo. Mwita ama kwa kutokujua historia yangu na uzito wa nafasi niliyonayo amenipa ufusia wa mgombea arais au kundi la mgombea. Kwa historia yangu na kwa nafasi yangu ndani ya chama huu sio muda wa kuwa na kundi. KUNDI LANGU NI CCM. NITAWAUNGA MKONO WAGOMBEA WA NGAZI ZOTE WATAKAOKABIDHIWA JUKUMU LA KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM 2015 KWA MJIBU WA KATIBA NA KANUNI ZA UCHAGUZI NDANI YA CCM.

Mosi, historia yangu kwenye siasa, mimi sio matokeo ya jitihada za kundi lolote kufika hapa. Niligombea ubunge nikiwa sijulikani na kundi lolote na wala sikutengenezwa na kundi lolote.Ungekuwa wakati wa kutafuta kundi ungekuwa huo maana nilikwenda kugombea nikiwa sina baisikeli, pikipiki wala gari. Ungekosa sifa zote kuhusu mimi, moja tu ungepewa na wanaccm ni kwamba mimi sina kundi na sitokani na makundi yanayokinzana, sina chuki na kundi lolote na wala siegemei kundi lolote. Hivyo hivyo nilishinda kwa kishindo uchaguzi ndani ya chama moja ya sababu nikutokuwa na ugomvi wala chuki na wanaccm na sina sababu na sioni faida ya kuingia kwenye makundi katika ngazi hii na muda huu. AM THE ACTOR AND DIRECTOR OF MY OWN IN POLITICS.

Pili kwa nafasi yangu mimi ni mkuu wa utumishi na utawala. Nimekuwa msiri wa mbele kuzuia watumishi wote na viongozi wa kuchaguliwa kutoingia kwenye makundi ya wagombea mpaka pale chama kitakapo watangaza kupitia NEC ya CCM. Nimetoa maelekezo hayo mikoani na wilayani kwa barua. Haiwezekani nitoe maelekezo kuwazuia wenzangu halafu mimi niwe kwenye kundi lililowazuia wenzangu. Ndio maana sijawahi shiriki kikao, mazungumzo yeyote ya kundi la mgombea, wakala wa mgombea au mgombea.

Tatu, kwa nafasi yangu naingia vikao vyote vya maamuzi ya chama vitakavyowajadili wagombea kwa mujibu wa katiba. Natakiwa kuwatendea haki wagombea wote. Sipaswi kuwa na upande katika mazingira hayo kwani huwezikutenda haki ukiwa nawe ni mjumbe wa vikao huku una mgombea. Nani atawatetea au kuwatendea haki wengine wasiokuwa 'wakwako' kiongozi ukiingia kwenye makundi.

Nne kuwa na kundi kunakusabisha kuchukiwa na wanaccm wenye makundi yao au wagombea wao kisirisiri. Mimi naungwa mkono na wana ccm wote kwa sifa hiyo ya kujenga chama na kuwaunganisha wanaccm. MAKUNDI YOTE WANAONA NAWATENDEA HAKI PUNDE KUNA KITU KINAHITAJI UAMZI.

Ukiwauliza wanaccm wakutajie watu watatu ambao wana imani nao wanaoweza kuwaunganisha na kuwapa ushindi nami nipo.

Nikuulize swali Mwita, umekiri mwenyewe kuwa wanaccm wanamatumaini makubwa namimi ya kuwavusha, umekiri pia kuwa napendwa na vijana. Ila umenipa ufuasi kwenye makundi ya wagombea, ULIWAHI KUNIULIZA BINAFSI NIKAKWAMBIA SIGOMBEI HATA UHANGAIKE KUBASHIRI KUWA MIKI NIMFUASI WA KUNDI FULANI.? MIMI NI KIUNGO NA KIONGOZI WA CCM NA MAKUNDI YOTE NDANI YA CCM.

CHAMA CHETU NI CHAMA CHA UTARATIBU NA MIMI NDIO MSIMAMIZI MKUU WA UTARATIBU NDANI YA CHAMA. KUNDI LANGU NI CCM.
Mkuu Mwigulu tunathamini mchango wako katika chama.Harakati na jitihada zako jimboni kwako,taifa kwa ujumla ni za kujivunia.
 
Mtu ukitaka kujua unavyochukiwa kwenye Jamii leta mada yako hapa JF.

Kwi kwi Kwiiiiiii!!!!

I love JF.
Not necessarily labda kama unaamini kuwa jamii inaanzia Jf na kuishia Jf na kikubwa zaidi, wachangiaji wa Jf ni wachache kuliko wasomaji ambao ni member wa Jf bila hata kunyambulisha itikadi, unafiki na mtazamo wa wachangiaji.

Ni angalizo tu.
 
Mkuu sixgates mbona umekazana sana kumtetea huyo muuaji mwigulu? Mlivyokutana alikupa posho au?

Hakuna binadamu mwenye roho mbaya nchi hii kama mwigulu nchemba.... Mwigulu hata shetani anamwogopa sasa nakushangaa wewe kupoteza nguvu zako hapa kumtetea!

Mkuu muda wote unawaza posho kama kaka yako lema, ona tamaa yake imekipasua chama.
 
Last edited by a moderator:
Kujenga hoja na mtu kama wewe ni kupoteza muda na resources.

Bandiko lako hili linatoa ujumbe sambamba na fikra zako.

Thanks.

Na wewe naweeeeee...endelea kujichosha tu...Eti unajenga hoja kwenye hoja ya Mwigulu...Si majanga hayoooo....Tangu lini Mwigulu akawa na hoja? The Film Director...Mzee wa Ushahidi wa duniani na Mbinguni...Lol.....

Chukua popcorn...Weka thoda.....piga mambo

j6.jpg j6.jpg
 
View attachment 121184View attachment 121184
 
Maneno mazito sana kutoka Mwigulu nchemba, anasoma phD ya uchumi katika kile chuo cha taifa udsm.

Huyu mshikaji ukikutana nae na mkaongea, na akiwa jukwaani, na akiwa mtandaoni, na akiwa bungeni utagundua ni director of his own politics.

umeruka mkojo umekanyaga mavi
 
Honesty is a very expensive GIFT. Do not expect it from cheap people - Mwita Maranya
 
Mwigulu Nchemba in short nlikuwa nakuchukia sana, ila nakumbuka we had a time tukaongea last week japo hatukuzungumzia siasa but I realized una akili sana and you ar good at heart.

Kaka sixgates ndo jaramba la kujiunga na ccm limeanza nini? maana huko kusifia
Nchemba leo umejitahidi sana kaka kuja kistaarabu na kujibu kistaarabu sana, achilia mbali mapungu yako mengi leo angalau!
 
Last edited by a moderator:
Fuata uzi huu https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...inachodai-alikibaka-akakiambukiza-virusi.html uone Kamanda wa Vijana Mstaafu wa Mkoa wa Tabora kilichomtokea. Babo wewe kwani mnajitia sana mna pencils za kutosha zenye ncha kali.

Wana jf Salaam,

Nimelazimika kusema machache kutoa ufafanuzi kufuatia uzi wa Mwita Maranya na wengine wenye fikra hizo. Mwita ama kwa kutokujua historia yangu na uzito wa nafasi niliyonayo amenipa ufusia wa mgombea arais au kundi la mgombea. Kwa historia yangu na kwa nafasi yangu ndani ya chama huu sio muda wa kuwa na kundi. KUNDI LANGU NI CCM. NITAWAUNGA MKONO WAGOMBEA WA NGAZI ZOTE WATAKAOKABIDHIWA JUKUMU LA KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM 2015 KWA MJIBU WA KATIBA NA KANUNI ZA UCHAGUZI NDANI YA CCM.

Mosi, historia yangu kwenye siasa, mimi sio matokeo ya jitihada za kundi lolote kufika hapa. Niligombea ubunge nikiwa sijulikani na kundi lolote na wala sikutengenezwa na kundi lolote.Ungekuwa wakati wa kutafuta kundi ungekuwa huo maana nilikwenda kugombea nikiwa sina baisikeli, pikipiki wala gari. Ungekosa sifa zote kuhusu mimi, moja tu ungepewa na wanaccm ni kwamba mimi sina kundi na sitokani na makundi yanayokinzana, sina chuki na kundi lolote na wala siegemei kundi lolote. Hivyo hivyo nilishinda kwa kishindo uchaguzi ndani ya chama moja ya sababu nikutokuwa na ugomvi wala chuki na wanaccm na sina sababu na sioni faida ya kuingia kwenye makundi katika ngazi hii na muda huu. AM THE ACTOR AND DIRECTOR OF MY OWN IN POLITICS.

Pili kwa nafasi yangu mimi ni mkuu wa utumishi na utawala. Nimekuwa msiri wa mbele kuzuia watumishi wote na viongozi wa kuchaguliwa kutoingia kwenye makundi ya wagombea mpaka pale chama kitakapo watangaza kupitia NEC ya CCM. Nimetoa maelekezo hayo mikoani na wilayani kwa barua. Haiwezekani nitoe maelekezo kuwazuia wenzangu halafu mimi niwe kwenye kundi lililowazuia wenzangu. Ndio maana sijawahi shiriki kikao, mazungumzo yeyote ya kundi la mgombea, wakala wa mgombea au mgombea.

Tatu, kwa nafasi yangu naingia vikao vyote vya maamuzi ya chama vitakavyowajadili wagombea kwa mujibu wa katiba. Natakiwa kuwatendea haki wagombea wote. Sipaswi kuwa na upande katika mazingira hayo kwani huwezikutenda haki ukiwa nawe ni mjumbe wa vikao huku una mgombea. Nani atawatetea au kuwatendea haki wengine wasiokuwa 'wakwako' kiongozi ukiingia kwenye makundi.

Nne kuwa na kundi kunakusabisha kuchukiwa na wanaccm wenye makundi yao au wagombea wao kisirisiri. Mimi naungwa mkono na wana ccm wote kwa sifa hiyo ya kujenga chama na kuwaunganisha wanaccm. MAKUNDI YOTE WANAONA NAWATENDEA HAKI PUNDE KUNA KITU KINAHITAJI UAMZI.

Ukiwauliza wanaccm wakutajie watu watatu ambao wana imani nao wanaoweza kuwaunganisha na kuwapa ushindi nami nipo.

Nikuulize swali Mwita, umekiri mwenyewe kuwa wanaccm wanamatumaini makubwa namimi ya kuwavusha, umekiri pia kuwa napendwa na vijana. Ila umenipa ufuasi kwenye makundi ya wagombea, ULIWAHI KUNIULIZA BINAFSI NIKAKWAMBIA SIGOMBEI HATA UHANGAIKE KUBASHIRI KUWA MIKI NIMFUASI WA KUNDI FULANI.? MIMI NI KIUNGO NA KIONGOZI WA CCM NA MAKUNDI YOTE NDANI YA CCM.

CHAMA CHETU NI CHAMA CHA UTARATIBU NA MIMI NDIO MSIMAMIZI MKUU WA UTARATIBU NDANI YA CHAMA. KUNDI LANGU NI CCM.
 
Mwigulu ni kambi ya Lowassa.

Mabomu na umwagaji wa tindikali ni yeye ametekeleza. Sijui kama yana mkono wa Lowassa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hili jukwaa limekuwa na mambo ambayo kwa mtazamo wangu yanasababisha viongozi wengi wasiokuwa wa chama Fulani kutoingia na majina yao halisi. Hii inasababishwa na tabia ya members kudharau hoja na matusi. Tusiwe kama Samaki- (Karume)
 
Mwigulu unachefua! nani kakudanganya kuwa unapendwa na wana ccm??? Anayekupenda ni Juliana Shonza na shoga yako Mtela Mwampamba

havizya hatuongei tokea hewani, nimegombea nafasi kumi nimepata 96% kwa kura ya wajumbe wa mkutano mkuu wa ccm.
 
Kwa hela za Lowassa na kwa vile wajumbe wa mkutano mkuu wa ccm hawachagui mtu kwa uwezo bali kwa rushwa unayotoa ningeshangaa kama usingeshinda kwa 100%

Hakuna aliyeko kambi ya Lowassa halafu akashindwa. CCM ni rushwa tu inaongea. Huna uzuri wowote unaua watu kwa mabomu, unawamwagia watu tindikali eti unapendwa???!!!!???

Back
Top Bottom