Recent content by makavulaivu

  1. makavulaivu

    Master PLan ya Mji mpya wa Singapore

    Tangu miaka ya tisini Chuo kikuu cha ardhi kimekuwa kikizalisha wataalamu wengi wa mipango miji na ma arctect wengii, achilia mbali mainjinia wanaograduate vyuo mbalimbali duniani, resource hizi hazitumiwi ipasavyo kwa sababu za SIASA imeshaharibu kilakitu tanzania. Tanzania tumezoea makazi ya...
  2. makavulaivu

    SABABU: Ujio wa Obama na timu ya watu 700

    Kama umekiri hapo kwenye red! ni wazi wachina na watu weupe bado wataendelea kuja na kufanya watakalo kwa manufaa yao.Vi nchi vidogo vya asia ya kusini (Singapore,malaysia, indonesia n.k) vilikuwa maskini wa kutupwa leo hii ni habari zingine.Tatizo ni hii ngozi yetu tuu? au akili zetu?
  3. makavulaivu

    SABABU: Ujio wa Obama na timu ya watu 700

    Liganga Nimefurahishwa na uchambuzi wako.Isipokuwa nataka nikuulize kuwa mbona sasa ni zaidi ya miaka 55 miongo mingi sana , Tangu wakoloni waanze kuondoka kwenye hili bara la africa na kuwaacha waafrica wajitawale na kujiendeshea mambo yao wenyewe, kwa masikitiko makubwa hakuna...
  4. makavulaivu

    yako madhara?

    wewe medicine yako ni ya nchi gani??? ! Liver transplant???!!!
  5. makavulaivu

    Kwanini Unaogopa Kufa?

    WOGA huzalishwa na hofu juu ya kupata maumivu au mateso ya kimwili au kiakili/kiroho. 1. upo woga juu ya maumivu ya kukata roho au aina ya kifo! (linauhusiano kisayansi zaidi) 2. upo woga wa adhabu ya hukumu baada ya kifo! (hili la kiimani zaidi kuliko sayansi)
  6. makavulaivu

    Obama to visit Africa...snubs Kenya again!

    US vs CHINA .... to TZ
  7. makavulaivu

    Obama to visit Africa...snubs Kenya again!

    Wait and see, if he is going to do more than what Xi Jinping did to Tanzania! We should be very concious if the visit is of benefit to us, rather than being a worthless tour
  8. makavulaivu

    Wanawake walioko kwenye 30s

    KUINJOI Sex kunahusisha sana BODY and MIND .ni kweli umri huo majority ni wazoefu Hawana stress za shule, pressure ya kuchagua saaana inakuwa imepita, wanaexperience za relationship, angalau wanaufahamu wa mimba na magonjwa, woga wa kufanya maamuzi kwa hofu ya wazazi unakuwauimepungua, viungo...
  9. makavulaivu

    Dr Slaa akataa mjadala na Nape ITV badala na Kinana

    Nape ni mwenezi wa siasa TAKA, Kumtuma Nape akaongee na Dr. haikuwa sawa. Hata hivyo Sifa kubwa ya siasa za Nape ni Ku attack individual personality, na sio hoja za msingi. Akimaliza kuongelea UGAIDI angehamia kusema Chama cha vurugu.
  10. makavulaivu

    Clouds FM wamburuza mahakamani Lady JayDee, kesi yapigwa kalenda hadi Mei 27...

    Unauhakika maneno yako ni ya kweli kwa kiasi gani???
  11. makavulaivu

    Kamanda Kova Umekurupuka Katika Hili - Pata Ushauri wa DPP

    KUNA KITU CHANDANI HAPA HAMKIELEWI. JF ni FB vimekuwa ni threat kubwa kwa mustakbali wa siasa za chama tawala. wanakesha wakijaribu kutengeneza tengeneza mbinu za kuiblock.
  12. makavulaivu

    Jini Mahaba? Pepo la Ngono? Mfadhaiko?

    Kama hawana madhara ntaftie mmoja mrembo mrembo! mautundu wanayajua kama binadamu?
  13. makavulaivu

    Jini Mahaba? Pepo la Ngono? Mfadhaiko?

    Hivi na wao hawaambukizwi ukimwi kweli
  14. makavulaivu

    Mahakama ya umma sasa iko tayari kuihukum CCM kwa makosa yake

    comment zako zina sura ya kujipendekeza kwa watawala kwa malengo yako Binafsi.Mimi huwa naamiri wewe ni binadamu na ni mtanzania mwenye akili timamu, Usiwasaliti watanzania wengi kwa kuacha kuchagua kuwatetea.Serikali ya CCM ina mazuri imeshayafanya lakini pia kuna mengi sana wanakosea,na...
  15. makavulaivu

    Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

    Pombe na Soda vinamadhara ila serikali itawaelewa? Mjue pie , The highest Tax payers in TZ ni SODA NA BEER na SIGARA,
Back
Top Bottom