Kamanda Kova Umekurupuka Katika Hili - Pata Ushauri wa DPP

Kamanda Kova Umekurupuka Katika Hili - Pata Ushauri wa DPP

Dar es Salaam. The Police Force has established an Information and Communication Technology (ICT) Department in an effort to curb hate speech in social networks which has been endangering peace and security in the country.

Dar es Salaam Special Zone Police Commander, Mr Suleiman Kova, revealed this in the city yesterday when commenting on resolutions reached during a meeting of clerics organised as a way to resolve religious tensions.

“The ICT department will be dealing with people using social networks, including Jamii Forums, Facebook, Twitter, YouTube and many others to spread hate speech among religions. It will also deal with disgusting text messages,” said Mr Kova.

Source : Police to use ICT in curbing cybercrime - National - thecitizen.co.tz
...sory mleta uzi, hivi na ile kesi ya spika kutusiwa kwa ICT imeishia wapi, au ndio desk likianza litaifatilia kwa karibu zaidi?
 
Polisi wa bongo watafanya nini kwenye mtandao wakati ni Form 4 failures na hawajiendelezi, hakuna kitu waendelee kun'goa kucha tu, hiyo ndo professional yao. Halafu hili la kutafuta wachochezi kwenye mitandao ni upuuzi, wachochezi wapo magomeni na mazense na kwengine, wanachochea hadharani kwa mike na spika kubwa, wameshakamatwa???. au tafsiri ya uchochezi ipoje? Kova aache ubwege. wachochezi bongo wala hajifichi na wana sababu za kutojificha...wanadai Serikali ni yao...
 
anatumia gharama za nini?? kwani hamjui Ilunga??
Alinikwaza sana yule kusema mapadre na makadinali wauawe - inawezakana kabisa yeye ndio chanzo cha ndugu zetu kutuona wauaji
 
Mm nashanga serikali waisting time kukaa na voingozi wa dini eti kuondoa tofauti za kidini. Let me give them a lesson. Amani huanzia ndani ya mtu na anaeleta amani ya kweli ni Mungu sasa naona ajabu eti mazungumzo. mmezungumza mangapi katika maisha kuhusu maendeleo etc na hakuna matund?. The only solution ni kumurudia Mungu wa Ibrahim kwa Jina la YESU amani itakuwepo. You talk and talk lakini hakuna kitu. Kwani kabla ya bomu la Arusha hawakukaa Ikulu nakuzungumumza? potezeni wakati wenutu.
 
Most of whom abuses religious are of no type of the IT alike, Kova should not waste of the country's resources over the move which will never yield results.
 
Kova atatumia hii chance kikandamiza uhuru wa mtu mmoja mmoja kutoa maoni ama, atashindwa kabisa kufanya analokusudia my take Polisi ianze kwanza na kuwa na huduma bora kwa wananchi ndio waendelee na mengine
 
Hivi Kova ile database yenu pale makao makuu tuliokuwa tunaweka entries ya mafaili yenu mara ikakolapsi ilishipona kweli? Maana ilikuwa fulu kimeo. ICT Polisi... Still long way to go
 
Hili sio jukwaa la lugha

Basi andika kikwenu, kile cha kijijini.

Kama huelewi mkuu, unapoandika unatakiwa uandike kwa lugha fasaha inayoeleweka. Siyo kuandika ili mradi tu eti msg sent, ni utoto.
Ndiyo maana huwa wanatoa nafasi ya ku-edit, ili uweze kurekebisha makosa yako. Weka hilo akilini mwako kama ulikuwa hulijui.
 
Basi andika kikwenu, kile cha kijijini.

Kama huelewi mkuu, unapoandika unatakiwa uandike kwa lugha fasaha inayoeleweka. Siyo kuandika ili mradi tu eti msg sent, ni utoto.
Ndiyo maana huwa wanatoa nafasi ya ku-edit, ili uweze kurekebisha makosa yako. Weka hilo akilini mwako kama ulikuwa hulijui.
Inahu??
 
Aondoe kwanza mafaili ya karatasi yaliyozagaa kila police post yawe computerized ndiyo aje na la ku deal na mitandao!hajui hata priorities za ICT ktk jeshi la polisi

Unafikiri kuna cha maana hapo? hiyo proposal ya watu kula hela tu hamna kitu hapo. Kukurupuka si ndio zetu?
 
Hapa ndo nam-miss Mtazamaji. Haya masuala tushayajadili sana huko nyumba when we saw this coming.

Lakini serikali na polisi wana-focus zaidi kwenye protection baada ya matukio kutokea badala ya kwenye prevention.

Serikali imeshindwa hata kulinda its owns various websites, ndiyo itaweza ku-monitor other websites?

Niliandika haya mwaka juzi ambapo tulikiwa na cyber crime experts wanne tuu nchi nzima.

....There was a training/workshop to enable the participants to advise the government on the proposed Bill, said Senior State Attorney Mr Ponziano Lukosi who was attending the workshop. "Proactive measures are taken by the Cyber Crime experts in the country, but there is no law in place to punish such crimanals," he said: Tanzania News Link - Cyber crime experts for South Korea

Mwaka 2008, the so called "four cyber crime specialists from Tanzania" participated in a "Cybercrime Legislation and Capacity Building Workshop" sponsored by the United States. The Tanzanian delegation comprised of Andrew Jumamosi, Senior Superintendent of Police, Head of Cyber Crimes Unit; Neema Chusi, District Court Magistrate; Lincoln Benn, Head of Legal Prosecution, Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB); and Ali Hilal Vuai, State Attorney, Zanzibar. Tanzanian Cyber Crime Specialists Attend U.S.-sponsored Workshop in Nairobi (December 4, 2008). Hawa ndio Tanzania's cyber crime specialists we had. You tell me.

Then, in February 2011, the US ambassador Alfonso Lenhardt and Tanzanian Attorney General Frederick Werema officially opened the Cyber Crime Legislation and Capacity Building Workshop for Eastern and Southern Africa in the city on Tuesday. The workshop was designed to assist participating countries to develop laws and procedures to combat cyber crime: allAfrica.com: Tanzania: U.S. Ambassador, AG Open Workshop on Cyber Crime. Those are two workshops, and I am not sure if we have already developed a law from them, ukizingatia jinzi tunavyopenda workshops.

Hata kama zipo sheria zinazo deal na cyber crimes, sidhani kama ni effective per this article which says that "the country has no specific legal framework to address the development and use of ICTs." Enact effective cyber laws to address cyber crimes - expert
 
Ni sawa na kutaka mwanao aanze kukimbia kabla ya kutambaa
 
KUNA KITU CHANDANI HAPA HAMKIELEWI.
JF ni FB vimekuwa ni threat kubwa kwa mustakbali wa siasa za chama tawala.
wanakesha wakijaribu kutengeneza tengeneza mbinu za kuiblock.
 
Hakuna nchi duniani zimefanikiwa katika hilo! Mods hususan hapa JF wanajitahidi sana ku-moderate post mbali mbali ... wakati mwingine zinaweza kuonekana zinaichukiza kundi fulani na kuifurahisha kundi lingine, freedom of expression ni mtambuka... Kama kweli vyombo vya dola vinafanyakazi kwa weledi basi JF ni source nzuri sana ya taarifa muhimu kwa utendaji wao; wanapashwa waienzi JF kwa michango mizuri muhimu kwa ustawi wa nchi hii... Kizazi hiki kamwe hakiwezi kunyimwa taarifa bali taarifa huwafikia kwenye kiganja cha mikono yao. Kova na wenzio msiokubali mabadiliko mjiandae kukabiliana na challenges msizoziweza...
 
Back
Top Bottom