Liganga
Senior Member
- Jul 4, 2007
- 165
- 125
- Thread starter
- #61
kwa kifupi ni kwamba wewe ni mpiga debe wa wachina, sioni kama unakemea kwa dhati uporaji wa maliasi za afrika kama ulivyolenga, umefikia hatua kutuaminisha haya NakunukuuREALLY? kwa nini asingemuita huko china kabisa? mbona ujaweka nukuu ya hiyo maana ulidokeza mwanzo kwamba utaweka marejeo.PHP:Pili mkutano ule haukuwa pale Washington kama vile viongozi wengine wanapokuwa wameenda USA kukutana na raisi wa Marekani, mkutano huu unafanyika California, eneo lilipendekezwa na Xi na watu wake. Obama na timu yake wameitwa kukutana na Xi, na si vinginevyo,
Kuna sehemu umegusia kwamba vijana wengi wa kiafrika/Tanzania sio wachunguzi kwamba tunasikiliza kwamba kinachosemwa kwenye media mfano blogs etc etc kwamba hivyo ni vyombo vya propadanga kisha na wewe ukaweka propaganda ya waarabu kupitia ALJAZEERA,!!!!
Mkuu huna moral authority wa assumption uliyotoa maana una bepari mfukoni mwako pia
Naomba urejee kusoma tena maandishi yangu nahisi umepita kwa haraka sana. Hapa chini ni kwa ufupi tu najaribu kukuonesha namna ulivyopotosha au ulivyojipotosha
Mtashangaaa sana lakini, ukweli huwa ni mgumu
kukubalika vile vile kizazi chetu kinatumikishwa sana kiasi mwisho wa siku huwa akina muda wa
kuchakatua matukio na taarifa mbalimbali zaidi ya kutegemea magazeti, televisheni na blogu kuwajuza.
Ni wachache usumbua akili kuunganisha na kutafiti habari
Sijazungumzia vijana au kuponda taarifa za media, bali nazungumzia kizazi chetu na yanayotusibu. Asiyeona na
kutambua kasoro kamwe hawezi kutoa jawabu la tatizo.
Nakushauri upitie tena na tena huu mjadala na tutoe michango endelevu. Tuepuke tuhuma, jazba na malumbano.
Karibu the home of great thinkers!