Recent content by Makau Js

  1. Makau Js

    Kesi ya mauwaji ya Yesu

    KESI YA MAUWAJI YA YESU FUATILIA ZAIDI. Dola Indidis ni mwanasheria kutoka Kenya aliyeishtaki Israel kwa kumuua Yesu). Anadai hakuipeleka kesi mahakamani kwa misingi ya kidini bali kwa misingi ya Kisheria. Anasema "Its academic thing not a theological thing" Yeye anachoangalia si unabii bali...
  2. Makau Js

    Thomas Sankara (1949-1987) - Muasisi wa taifa la Burkina Faso

    "ANAYEKULISHA....ANAKUTAWALA" Mwaka 1985, Thomas Sankara alikaririwa akisema kuhusu falsafa yake kisiasa kwamba: ‘you cannot carry out fundamental change without a certain amount of madness’, yaani hauwezi kuleta mageuzi ya msingi bila kuwa na kiasi fulani cha ukichaa... Ndipo mabeberu na...
  3. Makau Js

    Vita vya majimaji mpaka jina la Songea

    VITA VYA MAJIMAJI MPAKA JINA LA SONGEA SEHEMU YA KWANZA JINA la Songea limekuwa maarufu kiasi cha kuwafanya baadhi ya watu kudhani kuna mkoa unaitwa Songea. Ukweli ni kwamba Songea ni wilaya iliyopo katika mkoa wa Ruvuma na jina hilo linatokana na shujaa wa Wangoni, Nduna Songea Mbano. Ni...
  4. Makau Js

    Mwanasiasa Hussein Bashe anastahili tuzo

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu sifuri na zero zinatofauti kikubwa ni wew kuelewa tu mengine achana nayo iwe na uhakika au haina uhakika.
  5. Makau Js

    Mwanasiasa Hussein Bashe anastahili tuzo

    Kama kungekua na tuzo ya mwanasiasa bora wa week basi bilashaka Hussein Bashe alipaswa apewe. #GoldenPeople
  6. Makau Js

    Ubora wa mwanamke upo katika haiba yake

    Ubora wa mwanamke upo katika kutunza haiba yake:kuwa na utajiri wa tabia njema na kinywa kitamu cha kunena maneno matamu na ya hekima na busara kwa kila amsikiaye. Mwanamke mjinga ambaye ni mwerevu hutafutwa na wanaume wajinga ambao ni waerevu kwa dua na maombi, pia husitiri maungo yake kwa...
  7. Makau Js

    Mtazamo wa viongozi wetu kuhusu ajira kwa vijana...

    August 30 2017 saa 12:57pm ni siku ambayo DR.Hamisi Andrea Kigwangalla, alituma picture kwenye page yake ya Facebook ilionyesha idadi ya vijana wengi waliokuwa wanafanya usaili na kuweka maneno yafuatayo. 1. Ni kwamba kuna nafasi chache sana za ajira nchini ama watu wetu wanachagua sana kazi...
  8. Makau Js

    Dr Hamis Kigwangala ahoji tatizo la ajira nchini

    August 30 2017 saa 12:57pm ni siku ambayo DR.Hamisi Andrea Kigwangalla, alituma picture kwenye page yake ya Facebook ilionyesha idadi ya vijana wengi waliokuwa wanafanya usaili na kuweka maneno yafuatayo. 1. Ni kwamba kuna nafasi chache sana za ajira nchini ama watu wetu wanachagua sana kazi...
  9. Makau Js

    NASAHA KWA WANANDOA NA WANAOTALAJIA KUINGIA KWENYE NDOA

    1. Amueni kupendana hata katika nyakati za changamoto. Upendo ni kushikamana na mwenzako, sio hisia tu. 2. Daima pokea simu ya mumeo/mkeo anapokupigia na ikiwezekana izime simu yako au ondoa mlio unapokuwa pamoja naye. 3. Upe kipaumbele muda wa kukaa naye. Fanya utaratibu wa kuwa na USIKU WA...
  10. Makau Js

    Akili za wanawake...

    Umeongea vitu vikubwa sana mkuu, Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Makau Js

    Akili za wanawake...

    Mwanaume akikusifia kwa kutembea nyonyo nje, nyie mnaita boobs na makalio yakishika nguo uliyovaa ukisema unaenda na wakati huwa na nia moja tu, kukumega, kukuchapa, na kukushikisha adabu kitandani, na sifa zitaishia hapo. Hakuna mwanaume siriaz anayeweza kukubali kuoa mwanamke asiye siriaz...
  12. Makau Js

    Mapenzi na busara

    Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu Mwanamke/Mwanaume anampenda Mwanaume/Mwanamke anayemuona na sio kumpenda Mwanamke/Mwanaume anayemsikia sababu asiyekuwepo machoni na moyoni hayupo na kuona ni kuamini. Pasipo mawasiliano huwa hakuna mapenzi ya dhati:Bila heshima...
  13. Makau Js

    Baraka za wazazi

    Ujana wa sasa umejaa ujivuni na starehe na asilimia kubwa ya vijana wa kizazi hiki tumepoteza nidhamu mbele ya jamii na kwa wazazi wetu. Siku hizi kijana anajitafutia mwanamke kisha anampa uja uzito kisha anaenda kuwajulisha wazazi wake kuwa amepata mchumba ambaye tayari ana mimba . Mzazi...
  14. Makau Js

    Inakuhusu mwanaume tunavyo wafanyia wanawake sio vizuri

    INAKUHUSU MWANAUME!! UKIFANYIWA KITU MBAYA USILALAMIKE Ulimuona binti ukampenda ama ukamtamani mie sijui, ukamfuata na kumtongoza lakin akakukataa kwa vile alikuwa hajui kama unampenda kweli, lakini kutokana na umahili wako wa ulaghai ukamdanganya weee mpaka akakubali. Alipokubali tu ukataka...
  15. Makau Js

    Unconditional Love ❤ Mapenzi ya kweli

    Moja ya nguzo muhimu na bora ya mahusiano ni kumjua mwenza wako vyema na kuwa waaminifu katika mapenzi na kuwa wawaazi kwa kila jambo. Wazungu wanamsemo wao unaosema,''Trust means everything, but once it's broken sorry means nothing.'' Uaminifu ndio nguzo thabiti ya mapenzi bora zingatia sana...
Back
Top Bottom