Unconditional Love ❤ Mapenzi ya kweli

Makau Js

Member
May 25, 2017
93
233
FB_IMG_1501874832371.jpg
Moja ya nguzo muhimu na bora ya mahusiano ni kumjua mwenza wako vyema na kuwa waaminifu katika mapenzi na kuwa wawaazi kwa kila jambo.

Wazungu wanamsemo wao unaosema,''Trust means everything, but once it's broken sorry means nothing.'' Uaminifu ndio nguzo thabiti ya mapenzi bora zingatia sana hili.

Ni kazi rahisi sana kumuita mpenzi wako ''SoulMate'' lakini kiuhalisia ukawa umefanya kosa kubwa sana sababu neno haliendani na uhalisia wa ''SoulMate'' wako.

Je unajua, size ya kiatu cha Sweetypie wako? Je unajua team anayoshabikia brown Sugar wako? Je unajua kinywaji anachokipenda mume wako? Je unajua kitu ambacho hakipendi kabisa mpenzi wako? Je unajua karama ya mwenza wako nje ya kazi/biashara anayoifanya mpenzi wako? Je unajua rangi anayopenda mke wako? Je unajua Perfume anayopenda mke wako?

Mapenzi ya dhati yana maswali yake,nidhamu yake ,uwajibajikaji wake:kumjua vyema mpenzi wako ni jambo zuri sana ambalo linawasadia wapenzi kuwa na chemistry nzuri na kuwa marafiki wazuri .

Hii husaidia sana hata changamoto zikitokea kumalizana wenyewe pasipo kupeleka kwenye makundi ya Mashosti WhatsApp.Na kuomba ushauri kwa watu wasiotunza siri za matatizo yenu ya ndoa/mahusiano yenu.

Jitahidi kumjua mwanaume/mwanamke kabla haujaanzisha mahusiano naye kwa undani zaidi : tumia siku nyingi kumjua mpenzi wako kwa maswali matamu na yenye tija na siku moja kumkabidhi moyo wako.

Mwanamke hujisikia vyema sana apewapo maneno matamu na mume/mpenzi wake huku yakisindikizwa na sifa bora na stahiki:Mwanaume hupata faraja awapo na mwanamke wake peke yake mwenye kumjali mumewe kwa maneno na matendo.There are 4 steps to happiness: 1. you, 2. me, 3. our hearts, 4. together #UnconditionalLove❣️❣️❣️

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 558343Moja ya nguzo muhimu na bora ya mahusiano ni kumjua mwenza wako vyema na kuwa waaminifu katika mapenzi na kuwa wawaazi kwa kila jambo.

There are very few unconditional love relationships. You are always expected to do certain things in any relationship, otherwise you will be in trouble.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom